Dah Jana KAWE ilikuwa Balaa, Huwezi amini niliachwa na coster iliyotuchukua nyumbani, Wakati wa Kurudi sikuiona tena Mfukoni nilikuwa na 2000 niliyopewa na katibu wetu wa CCM TAWI Ikaibiwa huwezi kuamini nikatembea kwa miguu mpaka Sasa ndo naingia Nyumbani Buza hapa Dua zenu!

Sababu za Kiufundi zakwamisha vikao vya CCM - TAIFA, Itakumbukwa kuwa vikao hivyo vilikuwa vifanyike Jana na leo ambapo ni siku Moja baada ya Aliyekuwa Balozi @Polepole!
Huenda changamoto hizo za Kiufundi zilisababishwa na uwepo wa Mkutano huo wa waandishi wa Habari! π
Zifanyike Minimum Reforms halafu CHADEMA waingie kwenye Uchaguzi! Bunge halijavunjwa hivyo linaweza kuitishwa hata wiki mbili tu!
Kwenda kwenye Uchaguzi Bila Chadema ni sawa na Simba kusema anacheza na simba Ikiwa yanga haipo uwanjani, Halafu ukifunga Goal unashangilia. Gool
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Limewaachia kwa Dhamama Bi Brenda Rupia " Mkurugenzi wa Uenezi Chadema Taifa" ( Pichani) na Ndugu Leonard Magere ( Mkurugenzi wa Rasilimali na Miradi Chadema Taifa) na wamewataka Kuripoti Police Central Kesho Tar 16/07/2025 Saa Nne Asubuhi.
Sijaelewa, Kwamba ACT imemteua SSH kuwa mgombea wao wa Urais? Mbona wameamua kumuunga mkono kwa Ishara kabisa ya Kuvaa Kilemba kama yeye! @Ntobi_@PMadeleka Mmependeza sana! Ntobi angetoa Kofia!
@CatherineRuge Tatizo siyo CHAUMMA ni aina ya watu waliowapokea huko! Chama kinawezaje kujipanga kutoa mchango kwa jamii kikiwa na watu wenye ndoto za kutimiza Malengo yao binafsi?