Wafuasi wa Maria mna ujinga mwingi sana! Kwa hiyo mlitakaje? Mbona babake Maria haonekani hadharani nani amemuuliza ?
Fanyeni mambo yenu acheni kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu mtaibika shauri zenu!..
Hamjui mambo mengi sana!.
Mimi kuna vitu sielewi. Kwamba nchi hii Mzanzibari hana haki ya kuwa rais wa JMT?
Kwamba katika marais 6, wawili tu kuwa kutoka Zanzibar tunaona nongwa?
Katika nchi hii hii ambayo isingekua rais aliepo madarakani pengine ingechukua miaka mingi sana kuja kutokea tena rais kutoka Zanzibar?
Kama nongwa ni Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania ni kheri tu Mhe. Mbowe aseme sisi hatuutaki Muungano uvunjwe. Maana hata kukiwa na serikali ya Tanzania bado Mzanzibari anaweza akawa rais wa JMT.
Leo tuna sema Tanganyika inatawaliwa na Rais kutoka "nchi jirani"? 😀😀😀
Umetumia akili kubwa sana kutonitaja maana ningekufungulia kesi ili huu uwongo na mzaha wa kulihusisha jina langu na mambo ya zinaa ukome!
Uzuri, bungeni huwa kuna hansards, na zipo online, tafuteni kumbukumbu rasmi muone.
Simba Sports Club ina vyanzo vipi vya mapato? Na ina matumizi kiasi gani kwa mwaka? Watu waliolemaa akili na ama wenye ‘mentality’ za kitumwa (slave mentality) ama za kimaskini (poverty mentality), ama waliobweteka na wasiotaka kutumikisha hisia, bongo zao ana viwiliwili vyao, ama wale waliochaguaga kutumia hisia, akili na viwiliwili vya wanaume wenzao, huwaza kusifia wenye hela kama miungu watu!
Hawa hawajiamini wao na wala hawawezi kuamini wenzao kwa sababu wamegubikwa na umbumbumbu na umazwazwa wa kupindukia. Kimsingi, huu ni ugonjwa mkali wa akili uliozama kwenye hisia, bongo na viwiliwili vya waafrika. Kwamba, Kuna watu wanaweza mambo mazuri na makubwa, siyo sisi! Kwamba, hatuwezi kufanya chochote. Wengine huabudu matajiri na wala siyo ukweli, uhalisia na maarifa! Wao wenyewe wameanza kwa kujishusha na kujidharau kwenye nafsi zao, wala hawahitaji kukandamizwa ama kufungwa minyororo.
Minyororo ipo kwenye hisia na bongo zao, na wala siyo kwenye viwiliwili.
Akija mzungu na makaratasi anataka kuchimba madini ama kufunga mitambo ya kuzalisha umeme, ataaminiwa na kupewa vibali vyote faster, kisha ataenda kwao kusaka pesa, lakini akija Hamisi Kipilipili mwenye nia, uwezo, maarifa na makaratasi kama yule Mzungu, hayatosomwa na pengine makaratasi yake yasipochomwa moto basi yatatumika kufungashia vitumbua!
Ndiyo maana utajiri wa Afrika ulitawaliwa na wageni kwa miaka dahari, sababu sisi kwa sisi hatuaminiani, hatupendani na tumeshindwa kujikubali! Walianza warumi miaka 2000 iliyopita, wakaja waarabu, wazungu nk.
Naendelea kutafuta details za mapato na matumizi ya timu za Simba na Yanga, ili tuweze kufanya tafakuri tunduizi kwa pamoja, maana menejimenti yake siyo ‘rocket science’ ya kusema ni ngumu sana kueleweka; kimsingi ni hesabu rahisi tu za kujumlisha na kutoa. Kwa nchi ya watu wa mpira kama Tanzania, hivi timu kama Simba ndiyo ya kuuzwa 20bn na kutawaliwa na janja janja aliyeshindwa kulipa hiyo hela kwa kipindi cha miaka 7?
Umbile la mfanano wa hesabu (sijapata rasmi bado) za vyanzo vya mapato ya Yanga, na matumizi yake, ni hizi hapa. Naamini haziwezi kuwa na tofauti kubwa sana na za Simba. Zitazame, kama kuna makosa saidia kurekebisha, ama kama unazijua za Simba tupe tuone, kisha tutafakari pamoja!
MAPATO (YANGA):
1. SportPesa - 3bn kwa mwaka
2. Azam - 3bn kwa mwaka
3. Gate collection - 2bn
4. CAF (robo fainali) - $900,000 (Kama TZS - 2.4bn
5. Jezi - Mkataba wa GSM Jezi 1.5bn
6. Haier - 1bn
7. Kadi za uanachama - 1.5bn
8. Ushindi Azam Federation- 500mn
9. Ongeza na mengine ambayo sijaweza kuyakadiria!
10. NBC Bank ?
JUMLA TAKRIBAN 15bn.
MATUMIZI (YANGA):
1. Mishahara (Wage bill) - 400mn/mwezi (kwa mwaka ni kama 4.8bn)
2. Makazi - 720mn
3. Kodi - inaweza kuwa 3bn
4. Unaweza kutuongezea matumizi mengine ambayo unakisia yapo!
JUMLA TAKRIBAN 8.5bn.
My take:
1. Inafikirisha sana hisa 49% za Simba kuuzwa 20bn tu
2. Inafikirisha sana kusikia ‘mwekezaji’ hewa anasema anapata hasara
3. Inafikirisha sana ‘mwekezaji’ hewa kushindwa kulipia hizo hisa zake mpaka leo (takriban miaka 7!)
4. Inafikirisha sana Menejimenti ya Simba kushindwa kusajili wachezaji wazuri zaidi na kuwalipa vizuri wachezaji wetu wawe na motisha uwanjani
5. Inafikirisha sana timu zetu kukosa hata kambi zake za kudumu za maana, gymnasium na spa zake za kisasa, viwanja vyake, makazi ya kudumu n.k.
TIBA:
1. Mifumo ya governance iboreshwe
2. Ukiweka mfumo mzuri wa governance(utawala), utapata Menejimenti nzuri, na Menejimenti itasimamiwa ipasavyo.
3. Ukiweka mfumo mzuri wa governance utapata uwazi (transparency) wa mapato na matumizi.
INAWEZEKANA!
#HK #Fighter #NjeYaBox #NguvuMoja #DaimaMbeleNyumaMwiko
Kaka muulize pia huyu jamaa atueleze kuhusu MGODI ya vodacom wanatoa mikopo ya kitapeli sana , mfano nimewai kujaribu kukopa, kiwango cha kukopa ilikuwa 13000, nikakopa wakakata 3000 nikachukua 10000, lakini pia unaporejesha unalipa 13000 ile ile , huu ni wizi mkubwa.
Sawa Buki amefunga magoli mawili, sawa hafungi sana. Haya hana moyo wa kubaki. Mwacheni sasa porojo za nini??. Toeni milion 500 acheni kutumia waandishi ili wamchafue Buki aonekane mbaya kwa mashabiki. Kila mtu ana haki ya kutaka anachohisi anastahili
Wewe nae bure kabisa hili kweli nalo jambo la kijivunia kama waziri umefanya? Hili hata mwenyekiti wa mtaa si anaweza kufanya? Kwanza unajua kama hivyo vibao vingi vimeshaanguka na vingine kuibwa havipo tena mtaani?
Nakumbuka kejeli, matusi na dhihaka juu ya zoezi hili, lakini nakumbuka na kuwashukuru sana walionitia moyo kuwa jambo hili zuri na la kizalendo!! Leo matunda yake yanaonekana. Mungu mkubwa💪🏽💪🏽🙏🏾🙏🏾
Nimetumiwa malalamiko mengi wa wananchi kuwa baadhi ya ving’amuzi nchini vimeondoa channel ya TBC wakati leo wakianza kuonyesha mashindano ya Kombe la Dunia. Nimewaagiza TCRA kushughulikia. Naomba utulivu wakati tukifuatilia jambo hili.
Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana kwa staha kwa lengo la kupata muafaka.
Kwamba Rais Samia hajachukua hatua juu ya jambo hili si kweli. Bei ya juu Mwezi 3/2021 ilikuwa TZS 40.04 Bei ya juu Mwezi 8/2022 ni TZS 9.35. Tuanzie hapa…
Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana kwa staha kwa lengo la kupata muafaka.
Kwamba Rais Samia hajachukua hatua juu ya jambo hili si kweli. Bei ya juu Mwezi 3/2021 ilikuwa TZS 40.04 Bei ya juu Mwezi 8/2022 ni TZS 9.35. Tuanzie hapa…
Kinachoendelea ni kutaka kumtoa Haji kafara, jana mbele ya viongozi wa Serikali DC Said Mtanda, John Mongela, George Mkuchika, Anthony Mavunde, Alex Mgongolwa hawa wote waliyasikia matusi aliyoyatoa Karia, ni jambo la aibu na kushangaza sana.
FAS (Fashion and Style) magazine editorial photo
Theme: “I am powerful”
One of the best photoshoots done on a helipad in Dar es Salaam city 😎
Stylist did an excellent job to give me an edgy and different look
Time for another editorial photoshoot
MATAGA eat your hearts out!😏
Tunajua hauna akili ni mjinga sana ila jaribu kuficha ujinga wako angalau kulinda heshima kwa mkeo na watoto vp wakijua baba yao anauwezo mdogo hivi wa kujua mambo
Sabaya amefikia hatua ya kuomba michango, MTU katili,mwonevu na aliyesababishia familia nyingi maumivu ! Wenye dhamana kuna la kujifunza hapo! Tutafute #KatibaMpya ambayo viongozi wataifuata na sio kutenda ili kuifurahisha mamlaka ya uteuzi! Sponsor hufa!