Agiza korosho kutoka shambani na @MGSKorosho
Call/ WhatsApp 0742905376.
Korosho nyeupe 1kg-15500.
Korosho brown 1kg- 16500
NB: Kuanzia kilo 7. Njoo shambani ujipatie bidhaa bora kutoka kwetu.
📍Masasi-Mtwara 📍Songea-Ruvuma
Nimejifunza kuepuka mijadala ambayo itanikonga kushare experience za maisha yangu kwa kujitolea mifano.
Hii ni silaha ambayo unampa mtesi wako. Unajua ni kwa namna gani?
Iko hivi, kitendo cha kushare experience kwa mfano wako, kina pande mbili.
1. Strength yako
2. Weekness yako
Sasa wasikilizaji wa stori yako, hawana mtazamo mmoja na wewe, Nia moja na wewe lakini pia sio wote ni Fans wako.
Hivyo, itawasaidia kung'amua njia za kutumia kukuangamiza ikiwa wana Nia mbaya nawe.
Lakini pia katika stori sio lazima mtu akujue sana. Mtu kukujua saana ni sawa na kumpa password ya Maisha yako.
Na kama ni mpenz wa kuhathia sana stori na ktk stori zako unajikuta automatically lazima utoe ushuhuda ktk stori, anza kujitenga na watu.
Kuna watu Destiny zao zimekufa kwa sababu ya kusimulia simulia mambo binafsi na ndoto zako kwa watu wasio sahihi na bila mpangilio.
CHUNGA KINYWA CHAKO, KIMEBEBA HATMA YAKO NA WALIO NYUMA YAKO!
🇸🇦🇺🇸🇮🇱 Saudi official on Al Jazeera:
"American defense is focused on Israel — without concern for the defense of the Arab Gulf states, which host many of the military bases."
Gulf Arabs are finally waking up to the fact that those bases they host are nothing more than a protection racket and an intel collection hub.
@EsirEid Brother, Nitaenda kununua Laptop ili inisaidie katika kazi zangu za tenda kupitia mfumo wa Nest kwani natumia muda mwingi steshenary pasi na matokeo. Nikipata kiasi icho mimi natoa korosho rosted kilo 2 kwako tajiri.
Agiza korosho kutoka shambani na @MGSKorosho
Call/ WhatsApp 0742905376.
Korosho nyeupe 1kg-15500.
Korosho brown 1kg- 16500
NB: Kuanzia kilo 7. Njoo shambani ujipatie bidhaa bora kutoka kwetu.
📍Masasi-Mtwara 📍Songea-Ruvuma
Kuna kitu kinaitwa Neema. Ikikukuta, haikagui vyeti vyako, CV yako wala kabila lako — inabadilisha tu story ya maisha yako katika namna ambayo hukuwahi kufikiria. Kama unasoma tweet hii, Neema ya Bwana ikukute mahali ulipo. Claim it by retweeting this tweet.
@Korosho_@mafolebaraka Hamnaa Kikubwa, Unanua Vitu Used Venye Resale Value Then Unapost Marketplace Pale Facebook. Ni Platform Yenye Watu Wengi Sana. Vitu Havikai, Ukiweza Pia Fanya Iwe Verified Na Lipia Ads. Ukishindwa Vyote Kama Huna Kitu Kabisaa Basi Kuwa Middle Man Mpaka Ukiwa Vizuri
Ni mama mwenye watoto wawili anayeishi Kinyerezi, Dar es Salaam anaishi kwa shida sababu ya maumivu anayopitia, anaomba msaada wetu aweze kwenda hospital kutibiwa kutokana na tatizo la tumbo kujaa maji(tazama picha).
Mchangie kupitia 0763909700- Jumanne Adolf (mume wake).