Kama mbaya mbaya tu.. kwa kuwa polisi wamemzuia @TunduALissu kuingia Ngorongoro kufanya mkutano wa hadhara, Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
Huyu RPC ni mpumbavu na hii statement ni ya kipumbavu. Kati ya Lissu na polisi nani kamzuia mwenzake kutekeleza majukumu yake? Hawa polisi si ndio walizuia mikutano ya chadema na Lissu Ngorongoro na kila mtu ameona? Yani uzuie wewe halafu uwe mlalamikaji mwenyewe? Pumbavu
#Updates Msafara wa Jeshi la Polisi ukiwa na Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @TunduALissu ukitokea Karatu unaelekea njia ya kuelekea Arusha mjini. Mpaka sasa Jeshi hilo halijaeleza kuwa linampeleka wapi.
BREAKING: Taarifa tuliyopenyezewa ni kuwa UHAI wa Tundu Lissu upo hatarini. Tumetonywa kwamba kuna mpango mchafu wa kumuwekea Tundu Lissu sumu au kumchoma sindano. Lissu, tafadhali, usile chochote huko polis. #TanzaniaLeaks
Bi. Mkubwa, natambua kwamba umerejea na unaendelea vizuri. Pole na karibu sana. Chapa kazi.
Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato (TRA), Alphayo Kidata umri wake wa kustaafu umekaribia
Anatakiwa kustaafu 26/12/23. Maombi yoyote kumuongezea miaka miwili (kama) yapo, usikubaliane nayo.
Rais Samia yuko Oman tangu 28 July. Aliondoka na Ndege ya Serikali 5H-ONE kwenda Dubai. Baada ya kumaliza vikao na DP World, alienda Saudia na kuacha ndege ya serikali kisha kupanda ndege za raia (Public) kwenda Oman. Hatujui kuna shida gani! Kuna taarifa ana matatizo ya kupumua.
Ninanfahamu Wakili Mwabukusi ni mtu imara na Mwenye kuuchukia udhalimu. Ni mtu mwenye maamuzi magumu na kujiamini. Ndio maana aliacha kazi serikalini kwa sababu ya ubabaishaji na kuamua kuwa wakili wa kujitegemea, halafu leo mnamtisha tena kumfutia uwakili mnadhani anaogopa?
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.
Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).
MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).
Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?????? @SuluhuSamia
YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni @bunge_tz analipwa;
Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI.
Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=
Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).
Vikao vya Bunge
Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.
Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000
JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO
Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.
Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).
Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).
Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????
Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.
IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
Karibu #BoniYai Company, Ubungo-External, ujipatie mayai ya kuku wa kisasa kwa ajili ya shughuli zako na chakula
#BoniYai Company ni wauzaji wa mayai kwa bei ya jumla hapa Dar es Salaam na mikoani pia wanatuma. Bei nafuu kabisa
Wasiliana nao kupitia 0714666166. Karibu uhudumiwe
Hii ni spana inaitwa boxloader. Ni mtambo wa kubeba kontena za mizigo za DP WORLD popote.
Hii spana itawauma sana wafuasi wa MAMA na watalala wamechoka sana. Tunachochea moto
Kanda ya ziwa yote tutawaeleza watu kwamba Magufuli alikuwa dikteta lakini hakuuza bandari kwa waarabu.
Rais @SuluhuSamia nitakuwa sahihi nikisema kwamba kauli hii ni ya kutafutia mikopo na misaada kwa wafadhili? Nitakuwa sahihi kwamba kauli hii sio dhamira yako? Kama kweli unataka ukosolewe wakili @PMadeleka yuko wapi baada ya kukukosoa wewe kuingia mkataba mbovu wa bandari?
Kwamba mwekezaji bandarini hajapatikana? Tukubaliane, DP WORLD ni mnunuzi siyo mwekezaji?
Bunge lilipitisha (bilateral contract) bungeni, mkataba umesainiwa na serikali kuhusu bandari na kwamba DPW watapewa milele
Msemaji wa serikali anasema mwekezaji hajapatikana. Mnatuonaje?
Binafsi nimechukizwa na kauli za Tundulisu . Hata kama unataka kukosoa jambo weka RESPECT kwa Rais wengi wetu tunaimani nae na hope kubwa . Ila jifunze kukumbuka FADHILA .BINAFSI SITA KUSAMEHE DUNIANI HADI KIAMA
Mhe. Rais @SuluhuSamia , kwenye ukurasa wa pili wa ile essay ya TUJISAHIHISHE aliyoandika Mwalimu Nyerere 1962, kuna maneno yanasema
“UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA… YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA. UKINIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA, NATUMAINI UTANIONYA. LAKINI NIKILIPUUZIA ONYO LAKO ETI KWA SABABU WEWE NI MDOGO AU SIKUPENDI, NIKALIPIGA TEKE, LITANIVUNJA DOLE.”
Miaka michache iliyopita, Mh. @TunduALissu iliiambia serikali ukweli kuhusu tabia ya kuvunjavunja mikataba ya wawekezaji wa kimataifa kiholela, mikataba tuliyoingia wenyewe. Serikali ilidharau maneno yake, leo tunashindwa kila kesi ya kimataifa iliyotokana na uholela ule. Tumeona wakina Prof. Mruma na wenzake wanavyodhalilishwa huko kwenye mahakama za kimataifa. Tunalipa matrilioni kwa kushindwa kesi.
Leo watanzania hawa hawa wazalendo wakina Prof. @IssaShivji , @TunduALissu , na wengineo wanatuambia tena HUU MKATABA WA DUBAI NA DP WORLD sio DONGO ni JIWE tulisilipige teke lakini serikali yako inapuuzia na kama haitoshi inatumia jeshi la polisi kuwanyamazisha wanaosema ukweli huu.
Mh. Rais @SuluhuSamia , usisahau kwamba “UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI.”
Serikali ya Taifa la Afghanistan inayoongozwa na Taliban leo inatarajiwa kuyafunga Maduka ya urembo na saluni za kike zaidi ya elfu moja nchini humo ikidai pesa nyingi zinazotumika kwenye urembo zinasababishia hali ngumu kwa Familia masikini na pia baadhi ya huduma katika saluni hizo haziendani na maadili ya dini ya kiislamu.
DW Kiswahili inaripoti kuwa Wizara ya Kuamrisha Mema na Kuzuia Maovu nchini humo mwezi June mwaka huu ilitoa muda wa mwisho wa hadi leo kwa saluni zote kufungwa na kusisitiza kuwa muda huo ungewatosha Wafanyabiashara hao kumaliza kuuza au kutumia bidhaa zilizobakia.
Wizara hiyo imesema imetoa agizo hilo pia kwasababu vipodozi vingi vinawazuia Wanawake kutawadha vizuri kabla ya kuswali huku pia urembo mwingine kama kuongeza kope na kusuka nywele ukipigwa marufuku, Shirika la Habari la AFP limesema limeiona nakala yenye maagizo hayo ya mdomo ambayo yanatoka kwa Kiongozi Mkuu Hibatullah Akhundzada. #MillardAyoUPDATES
I was laid off from Twitter today. I was the designer in charge of our new rebranding to X.
I learned so much in my 2.5 weeks at the company but I’m excited to see where I land next.
If you’re hiring a self taught, junior designer please DM me. Graphic design is my passion!