@samatimemagari@nkana_samuel Naomba sasa uje na uzi kuhusu KIA siku hizi zinavuka sana pale DP world na huku road tunaona zinapelekwa nyingi sana kwa watumiaji
@JamiiForums Hao madreva wamesoma chuo cha serikali NIT sioni sababu ya kuwananga wakati mazingira na taalum ilitakiwa tuwape sisi aibu ni ya chuo sio wahitimu