@Paulmeda1@bohny_chengula@NjiwaFLow@Cowwbama Unajua kitu kimoja ambacho tuna fichana ni kwamba ali acha akiwa tayari na mtaji na akiwa amesha jiandaa kuingia mtaani. Na hapo asilimia za kufeli ni ndogo compare na wale walio fukuzwa ghafla, au wana toka chuo. Ndoto bila mtaji ni uongo
@zipporah_zealot Sema nilikua najua watu wa mtwara wana faidi korosho hadi pale nilipo enda๐. Bora ununue korosho pale kisutu mtwara bei kama ugomvi alafu package ya kuchomelea na kibatari๐