DAR: Mwandishi Mkongwe, Salim Said Salim, aliyasema hayo Mei 16, 2026 kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Hatima ya Tanzania.
Fuatilia zaidi https://t.co/TvYWQcBC7f
#JamiiForums#UhuruWaMaoni
โHili linaweza kushinda tuzo ya goli bora la mwaka duniani.โ- haya sio maneno ya semaji au admin, haya ni maneno ya mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Rio Ferdinand kuhusu uzuri wa bao la Clatous Chota Chama dhidi ya mtani Young Africans.
Basi kuna watu wanaumia ๐๐๐
๐ฅ @CloudsMediaLive #NguvuMoja