Mama kasema,"Ukitaka kwenda haraka tembea peke yako,lakini ukitaka kwenda mbali zaidi tembea na wenzako" Upinzani ni kioo cha kujitazama kama tongotongo zipo machoni au mabaki ya chakula bado yapo mdomoni. Bila kioo huwezi jua kasoro. Let's walk together!
Yanapofungwa mashindano ya sayansi na teknolojia Tanzania isipuuze kazi za wabunifu nchini kama wanaotengeneza silaha,magari,helkopta,mitambo na zana mbalimbali