Tanzanian long-distance star Alphonce Simbu has etched his name into the history books after finishing second at the prestigious Boston Marathon held today, April 21, 2025, in Massachusetts, USA.
Simbu, who has consistently performed for Tanzania on the international stage, completed the 42-kilometre race in an impressive time of 2:05:04, just seconds behind Kenyaโs John Korir, who clinched victory with a time of 2:04:45โthe second-fastest time ever recorded in the history of the Boston Marathon.
In a highly competitive race, Simbu displayed remarkable endurance and determination, outpacing a strong field of elite runners, including Kenyaโs Cybrian Kotut, who finished third, and American Conner Mantz who came in fourth.!
TANZIA: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2025 majira ya Saa 6 hadi Saa 7 usiku katika ajali iliyotokea Wilayani Bunda, Mkoani Mara
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Pius Lutumo amesema kuwa ajali hiyo ilitokea baada ya gari la Mkurugenzi lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Bunda kugongana uso kwa uso na lori
Soma https://t.co/ElDMe0M9fB
#JamiiForums #RIPGissima
The older you get, the more you realise how silence can answer so many questions and resolve so many conflicts.
Silence, when well timed, can be golden โจ๏ธ
๐
Best investment books:
The Richest Man in Babylon
โG.S. Clason
Rich Dad Poor Dad
โR.T. Kiyosaki
The Essays of Warren Buffett:Lessons for Corporate America
โW. Buffett
The Intelligent Investor
โB. Graham
The Four Pillars of Investing
โW. Bernstein
*repost & send a Friend.
Sanlam Pesa Money Market Fund inakusaidia kupanga na kuwekeza kwa njia salama ili kufikia malengo yako ya kifedha.
Kuwekeza, tembelea: https://t.co/vaIlvuF9dQ
#LiveWithConfidence
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Prosper Mgaya amesema gharama ya mafunzo ya urubani nchini yatagharimu kati ya shilingi milioni 100 hadi milioni 120.
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ๐ป ๐๐ต๐ถ๐น๐น๐ถ๐ป๐ด ๐๐ผ๐ฏ๐ฏ๐น๐ฒ๐ ๐ฎ๐ด๐ฎ๐ถ๐ป๐๐ ๐๐ต๐ฒ ๐จ.๐ฆ. ๐ฑ๐ผ๐น๐น๐ฎ๐ฟ
March 20, 2025
๐ฝ๐ฎ ๐๐ฝ๐ ๐๐๐ฅ๐ค๐ง๐ฉ๐๐ง
๐ฟ๐๐ง ๐๐จ ๐๐๐ก๐๐๐ข
The Tanzanian shilling has declined by 8.9% this year (January to March 2025) against the United States dollar, making it the world's weakest currency during the period under review.
According to Bloomberg data, other currencies that have performed poorly this year include the Liberian dollar (8.7% decline), Ghana's cedi (5.2% decline), the Turkish lira (3.6% decline), the Argentine peso (3.5% decline) and the Zambian kwacha (2.9% decline).
The decline of the currencies versus the U.S. dollar was attributed to rising imports and soaring dollar-denominated government debt.
A weak shilling means that the cost of servicing the government's external debt increases at the expense of spending more money on public infrastructure and social services.
The government's external debt rose 11.5% in the year to January this year to $33.9 billion, while imports increased by 5% to $16.9 billion.
On a brighter note, a weaker shilling could improve Tanzania's export competitiveness.
Bank of Tanzania data shows that the shilling declined from 2,300 levels against the dollar at the start of the 2025 calendar year in January to 2,600 levels this month.
HOW IT STARTED HOW IT'S GOING
Nawakumbusha tu kwamba, Wapo wabunge waliopinga mradi wa bwawa la Nyerere, kinachochekesha zaidi wengi ni wa UPINZANI na wachache akina NAPE walipinga pia.
VIDEO:
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi nchini ya Haki-Ardhi, Cathbert Tomitho, amesema kuna mashaka juu ya Sera Mpya ya Ardhi iliyozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kudai kuwa sera hiyo haijashirikisha wananchi kikamilifu katika mapitio yake.
Akizungumza Machi 17, 2025, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muda mfupi kabla ya uzinduzi rasmi wa sera hiyo ya mwaka 1995, toleo la 2023, Tomitho amesema kuwa wananchi wengi hawajafahamu ipasavyo sera ya umiliki wa ardhi, na ushiriki wao katika mapitio ya sera hiyo umekuwa mdogo licha ya kuwa ilikamilika mapema tangu mwaka 2023.
Kauli hiyo inakuja wakati ambapo Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inazindua sera hiyo mpya ili kuimarisha usimamizi wa ardhi na kuhakikisha inawanufaisha wananchi wote.
Msafara wa Viongozi wa ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT Othman Masoud Othman pamoja na msafara wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, umezuiwa kuingia nchini Angola na Mamlaka za Serikali ya Angola.
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT, Mwanaisha Mndeme leo March 13,2025 imesema Viongozi hao wanashikiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Luanda na hati zao za kusafiria zinashikiliwa, Serikali ya Angola, bila kueleza sababu yoyote imetoa amri ya Viongozi hao kurejeshwa Tanzania.
Viongozi hao waliwasili Angola kushiriki mazungumzo ya Jukwaa la Demokrasia Afrika The Platform for African Democrats (PAD) yaliyoandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation yaliyopangwa kufanyika kuanzia March 13-16, 2025 ambapo mbali na Viongozi hao, Viongozi wengine zaidi ya 40 kutoka nchi mbalimbali Afrika ambao pia walikuwa wanahudhuria mkutano huo wamezuiliwa na Serikali ya Angola.
Moja ya Viongozi Waandamizi waliotarajiwa kushiriki kwenye Mkutano huo ni pamoja na Marais Wastaafu Ian Khama (Botswana) na Andres Pastrana Arango (Columbia), wengine ni Waziri wa Kilimo wa Afrika ya Kusini na Kiongozi wa Chama cha DA, John Steenhuisen na Kiongozi wa Chama cha PODEMOS cha nchini Msumbiji, Venancio Mondlane.
ACT Wazalendo imelaani kwa nguvu kitendo cha udhalilishaji kilichofanyika dhidi ya Viongozi wa ACT na Vionvozi wengine kwa kuzuiliwa na kushikiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Luanda ambapo ACT pia imemtaka Balozi wa Angola nchini Tanzania kutoa maelezo ni kwa sababu ganinViongozi hao wamezuiliwa na kunyangโanywa hati zao za kusafiriria.
โTunaitaka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imuite na kumhoji Balozi wa Angola nchini juu ya kadhia hii na tunatoa wito kwa Serikali ya Angola kuziachia mara moja hati za kusafiria za Viongozi wetu walizozishikilia na kuwaruhusu kuendelea na ratiba yao nchini Angolaโ
#MillardAyoUPDATES
๐จ Trump cancels major US-backed loans to South Africaโa move that could impact investment, energy, and infrastructure projects. Whatโs next for Africaโs second-largest economy?
๐ Read more: https://t.co/vN90ZQStSU
#SouthAfrica#Trump#USForeignPolicy#Investment #EnergyCrisis
Kagame yupo sahihi sana. Taifa haliwezi kuwa huru wakati linategemea kuendesha mambo yake kwa kutembeza bakuli kila kona.
Na wakati mwingine huu utegemezi ni wa kujitakia kabisa.
Chukulia mfano taifa kama Tanzania, mpaka tundu la choo cha shule tunachimbiwa kwa msaada wa Marekani na Canada.
Ajabu ni kwamba taifa hilo hilo lina pesa ya kukimbiza mwenge nchi nzima.
Hivi style hii kwa nini hao mabeberu wasitumie misaada kama leverage ya mikataba ya kinyonyaji??
Kwa nini wasikupe maelekezo na wakati mwingine hata kukuzaba vibao kama mpumbavu??
Viongozi wetu wanatuhujumu sana, ndio maana wakina Lee Kuan Yew walivyokuja Africa waliishia kutushangaa tu.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema mkoa wa Njombe una wanawake matajiri ambao hawahitaji kuendelea kupewa elimu za kujikwamua kiuchumi badala yake waelezwe fursa zinazoweza kuwasaidia kuboresha shughuli zao.
Mtaka ameeleza hayo wakati akizungumza na wanawake kwenye semina ya wajasiriamali kuhusu taratibu,sheria,na kanuni za kufanya biashara katika soko huru la Afrika (AfCFTA) yaliyoandaliwa na chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC).
"Njombe ni moja ya mikoa michache sana Tanzania ambayo wanawake wanamiliki mali,nimesema hivyo kwasababu siku hizi tunamatajiri wa mitandaoni kwa hiyo kuna wama huku njombe ni matajiri sana hawako facebook hawako instagram"amesema Mtaka
Ametoa wito kwa taasisi zinazofika mkoa wa Njombe kwa ajili ya semina za uchumi hususani kwa wanawake kujua wanakwenda kuzungumza na watu wa aina gani.
Rais wa Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mercy Sila amesema kutokana na hali ya uchumi waliyonayo wajasiriamali na wafanyabiashara wanawake wa Njombe ni rahisi zaidi kuingia kwenye soko la Afrika kwa kuwa wanao uweza mkubwa wa kuzalisha bidhaa.
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ผ ๐ต๐ถ๐ธ๐ฒ ๐ฝ๐๐ฏ๐น๐ถ๐ฐ ๐๐ฝ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ถ๐ป๐ด ๐ถ๐ป ๐ฝ๐ฟ๐ฒ-๐ฒ๐น๐ฒ๐ฐ๐๐ถ๐ผ๐ป ๐ฏ๐๐ฑ๐ด๐ฒ๐
โพ Government moves to break donor dependence amid Trump's aid cuts
โพ Tanzania wants to fund nearly 70% of its 2025/26 budget from own funds, while over 28% of spending will be financed by loans
โพPriority areas for public spending include the 2025 general election, infrastructure projects, national debt repayment, and AFCON 2027 stadiums
March 12, 2025
๐ฝ๐ฎ ๐๐ฝ๐ ๐๐๐ฅ๐ค๐ง๐ฉ๐๐ง
Dar es Salaam
Tanzania expects its public spending to rise 13.4% in its last budget before a general election due in October as it seeks to wean itself off donor dependence amid aid cuts from President Donald Trump's government.
The government plans to spend TZS 57.04 trillion in its new budget starting on July 1, up from TZS 50.29 trillion in 2024/25, according to Finance Minister Mwigulu Nchemba.
Priority areas for public spending include national debt servicing, the 2025 general election, public infrastructure, and construction of new stadiums for the 2027 AFCON finals.
In a budget framework presented to the parliamentary budget committee yesterday, the Finance Minister said the government will boost tax revenue and hike borrowing from domestic and external lenders to fund the budget.
This comes amid looming aid cuts announced by President Donald Trump's government and other development partners, including the United Kingdom.
"The 2025/26 budget takes into consideration possible (fiscal) impacts from policy shifts by development partners, particularly the United States," he said.
The government plans to raise TZS 40.96 trillion from tax and non-tax revenues.
It will borrow TZS 16.07 trillion from domestic and external sources to fund the budget deficit.
The budget deficit could edge up to 3.5% of gross domestic product (GDP) in 2025/26 from 3.4% in 2024/25.
"Domestic revenues are expected to finance 69.7% of the entire 2025/26 budget, which is part of the governmentโs strategy to reduce reliance on unpredictable and costly (external) sources of funds," he said.
This is up from a budgetary self-reliance of around 67% projected in 2024/25.
The government expects tax revenue to rise to TZS 31.8 trillion in the 2025/26 financial year or 13.1% of the GDP, up from a target of TZS 28 trillion in 2024/25.
Tanzania will spend TZS 6.49 trillion on debt servicing in the upcoming fiscal year, from TZS 5.58 trillion previously.
The government's wage bill will also rise to TZS 7.7 trillion from TZS 7.49 trillion in 2024/25.
On the economy, Nchemba said he expects GDP growth to expand by 6.0% in the 2025 calendar year from a projected growth of 5.4% in 2024.
Inflation will remain stable in a single-digit band of 3.0% to 5.0%, he predicted.