Mwenyekiti wa Vijana ✅
Mwenyekiti wa Wazazi✅
Tunasubiri Mwenyekiti wa Wanawake na Wenyeviti wa Mikoa.
CCM wanaweza zunguka hata Wenyeviti wa Matawi wafanye Press, lakini JAWABU ni;
1) Tundu Lissu aachiwe huru bila masharti yeyote
2) Mazungumzo ya namna ya kupata Katiba mpya na mageuzi muhimu ya kisiasa yaanze chini ya wapatanishi (GUARANTORS) kutoka ama Umoja wa Afrika (AU) au Jumuiya ya SADC au wote kwa pamoja
3) Katiba mpya inayotokana na mwafaka wa Kitaifa itungwe na kuamuliwa na Wananchi kwa kura ya maoni
4) Katiba Itekelezwe na kutumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 na kabla yake Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029
5) Sambamba na hayo hapo juu mchakato wa UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI kwa matendo yote ya uvunjifu wa haki za binadam ufanyike.
CCM ISOME MAANDIKO UKUTANI
Mpe miezi unamuona kwenye picha na maza kwenye halfa za gvt, ataalikwa bungeni, utamuona na picha na mawaziri.
Tushachanganyikiwa kama taifa.
Mediocrity ndo inapewa kipaumbele kuliko meritocracy.
Na ukumbuke hela atapewa zakutosha kusifia na kutangaza upuuzi wa gvt.
A new mega-refinery to be built at the Kenyan coast by Africa’s richest person will cost as much as $17 billion, a spokesman for Dangote has confirmed https://t.co/MXpjD9bZo7
failed to identify credible people to mann government institutions, there are a lot of waste across all public sectors. Therefore, significant transformation in governance is necessary. The transformation can only be possible by having a New Constitution because the current 3/4
Yale yale ya kujenga hospitali kama ile ya Mawenzi kwa fedha za umma kisha kusema “hapa ni kwa VIP, VPI msikanyage kabisa.”
Ni jambo la ajabu sana kufanywa na serikali!
Kaka, hapa neno ‘desperation’ linatoka wapi? Hakuna mtu amesema tunapaswa ku-negotiate from the point of desperation. We snatched EACOP from Kenya, it was not a desperate but a strategic move.
The truth is, we are not that important in a global scene (at least not yet). Majority of our people are in absolute poverty. We are barely a $90 billion economy, and in real terms we are as poor as we could imagine, despite our potential.
Something to take note: we were not even well represented on a high level at the Nairobi Summit, which was held next door and where all these news of a refinery broke out. That should tell you how unimportant we are (I know wahafidhina watanimind nasema hivi). Again, big projects like these take years to be implemented, and decades to make sense on the national economy (leave aside macro economics). So we need them, as many as we can and we need them now.
My kids should not be the ones to have this conversation three decades later. Again, we can be as wazalendo as we could and bang our chest with whatever the pride we think we should have, but we are poor, underdeveloped and we are risking sending away investments worth billions like we did in the past.
Soon kama Nchi tutakua na overhaul ya kiwango cha juu kabisa katika level ya LGAs na Taasisi kwa sababu;
1. How on earth ni lazima hadi PM awepo ndo mambo kama haya ya Ardhi tu yawe resolved? Why ?
2. Kuna mahala unakuta Halmashauri inadaiwa na mzabuni au mtoa huduma TZS 5M tangu 2021 na kuna CMT na kila kitu
Nadhani;
Kama alivyosema Judge. Chande katika taarifa yake Ikulu, moja ya vitu vinafanya Serikali ichukiwe ni watendaji wa ngazi za Chini huku.
Unakuta mtu kupata huduma katika mazingira yake tu ya ki serikali ni lazima ajuane na mtu na ndo matokeo yake haya.
PM na Viongozi wa Kitaifa msiache kwenda field. Huko ndio shida kweli kweli!
@KennedyMmari I support lighting up the roads, but we should also hold off on issuing driving licences without checking eyes health.
From my observation, many Tanzanians don't see clearly and are unaware of their conditions as well.
Note: 90% of headlights shouldn't be on vehicles.
Mnapopachika hizo headlights zenu zenye mwanga mkali kama karabai za wavuvi mjue kuwa mkiwasha indicators za mbele huku mataa hayo yakiwa yamewashwa hakuna anayeziona hizo indicators. Zinamezwa. Ajali!