@CavityDamas23 Sawa umeeleweka secretary of war wa dunia, unayejua kushinda vita, mkufunzi daraja la kwanza kwenye chuo cha vita na mapigano ulichokianzisha mwenyewe na ukajipa cheti. Unajiona unajua vita kuliko taifa namba moja duniani.
@Abby18253675@EliabuDanford Dunia haibadiliki mkuu, ikizunguka kwenye mhimili wake ni siku na ikizunguka Jua ni mwaka.
Marekani, hataanguka kwa shambulio kutoka nje, hilo sahau.