16 promax
official
yakuogaπ§π£πΏπ
π90%
256Gb
2,280,000π₯π
16 plus
official
yakuogaπ§ππ£
π92%
128Gb
1,850,000π₯π
0685292370
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026
Shirika la MDH kwa ufadhili wa PEPFAR kupitia U.S CDC limekabidhi rasmi Mradi wa Methadone Assisted Therapy (MAT) kwa Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam.