Alhamdulillah! Afya yangu inaendelea kuimarika, nikiwa nimeanza kazi kidogo kidogo, ninawashukuru viongozi wote wa Dini zote, wa kimila, wa Chama changu, wa Serikali, na wananchi wa Mkoa wa Tabora kwa kuamua kunitaka nirudi nyumbani kumshukuru Mungu. Leo nafika jimboni kwa dua!๐๐ฟ
#BREAKINGNEWS
Mbunge wa Ukerewe, Joseph Michael Mkundi ametangaza kujiuzulu uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya CHADEMA, na kuomba kujiunga CCM na miongoni mwa sababu alizotoa, ni kutopata ushirikiano kutoka kwa viongozi wenzake (CHADEMA) wakati wa ajali ya MV Nyerere.
Nimeshukuru sana watuwaliomteka Mo wamepatikana baada dakika chache tu. Lakini @Paul_Makonda na @tanpol mwaka 1 baada ya mabomu kuripuka ofisini kwetu bado wahalifu HAWAJULIKANI na wewe Makonda uanayesema mkoa wa Dar ni wako hujathubutu hata kuja kwenye tokeo! Tusemaje??