@Sonko_tips Kwani wanasheria hawawezi saidia hii kitu mkapiga pesa zaidi, hapa nazungumzia wanasheria wasio na majina , hizi ndio chance zao kujitambulisha kwenye industry
@MarekaMalili Ni kweli kabisa Kwa sababu ukiajiriwa huwezi fungua ofisini 5am na kufunga 10pm, sema watu tunashindwa kuilewa maana ya kufungua muda unaojisikia.
@Hamis_Mbaade Kuna group la Whatsup lilikuwa Kwa ajili ya kujenga maarifa kumbe watu walikuwa na malengo meng, siku watu wakauliza kwamba humu wote ni single mm nikasema binafsi Nina mtu, hii kauli ilikuwa kama fimbo kwamba najidai sana ,najifinya ndio najua kupenda, kitu kidogo mpenzi wangu
@mTusiOriginal Hosp zetu za Gov shida ni udogo wa leba na wingi wa wazazi mazingira sio rafiki, wote wapo eneo Moja ukiingia utaona na wake za wengine wakiwa hawana nguo, ndio maana ni rahisi mwanamke kuingia tofauti na mwanaume, nenda hosp za private wenye huduma hizo.
@HabariTech Ukimsikiliza Masoud Kipanya na Ile project yake ya inawezekana Tabora ndio utaelewa, watu wengi tumejawa tamaa na wivu. Siasa zinatuharibia sana maendeleo
@zk_zakazi@LifeofSteph_1 Kama ilivyo kwenye kazi tu, unamuingizia boss/kampuni pesa nyingi ila wewe unapata mshahara mdogo, kwenye haya maisha kama mtu anapambana kuingiza pesa zake kihalali tunapaswa kuwapongeza na kuwatia moyo.
@Adventure_36 Huo ndio ukweli, wakati wa kutoa mahali pale ndio umiliki ulibadilika, lakini mengine ni busara hufuata, mtu kama anakataa anakuwa na sababu za msingi na kama hana mke anatakiwa kushirikisha wakubwa.
@Tweener003 Ni kama Bakhresa na project yake ya kumaliza ombaomba mjini, akaleta Ile biashara ya kutembea ice cream, lakini wao wamezoea kuomba na sio kufanya kazi, raia wakaona fursa.
@nyuki_malkia Maisha Yana misingi yake hata kwenye biblia wameandika, Kuna watu biblia wanatumia kukemea pepo na kutegemea miujiza, na Kuna watu wanatumia biblia kupata misingi ya kuishi.
@BesteNicolas Kanunue hii cream unapaka mara mbili Kwa siku mpaka iishe, kama utakuwa na uwezo nunua pamoja na vidonge vyake ila Bei imechangamka kidogo