@AnfieldAgenda@JacobsBen I pray for my team to do well in the registration, especially number 9 we don't have at all, also how can we really let Ekitike go to Newcastle if he is more fit than Alexander Isack? It's like the rest of us at the ends of the earth, we would have membership cards we pay for
@TanzaniaYaMama Daaah sawa wengine masikini tunategemewa, tukisema tuongee kulingana na katiba ya Tanzania, uhuru wa kuongea na kutoa maono tutaonekana tunapingana na Mama japo kuna wakati tunatamani kuomgea ila Mungu atatusemea na kututetea kwa haki
@nyuki_malkia Sawa sio askari, je kazi ya police ni kuwafuga watekaji? Jibu hapana kwa sababu hakuna askari anayekubali raia wake atekwe. Ombi langu kwa Mungu Taifa liondoke kwenye hii kadhia
@Jaguar_455@LuhagaMpina Kama alizisemea Bungeni halafu hamna anayesimamia akasemee wapi? Kilikuwa kiasi cha Mama kujua kuwa taarifa zilifika halafu hakuna kuchukua hatua
@earadiofm@nsajigwa_senior Wandishi mliokosa ya kuongea, kwani kuna hasara ipi inapatikana ikiwa Yanga hawataki kucheza? Acheni kujishushia heshima kwa mihemko ya kukosa maarifa
@AgoraCFR I think East African countries should sit together to see what is needed, we have had a difficult time in today's times because humanity has disappeared, solidarity is absent, there has been dictatorship and colonialism towards each other.
@JamiiForums Watumishi tuna wajibu wa kumlilia Mungu kwa ajil9nya nchi yetu, hii sio kawaida, tusiingie kwenye mitego ya kushabikia siasa, tufanye kwa nafasi zetu kuwaombea viongozi wetu wawe na busara katika kuamua hatima ya nchi yetu, kazi yetu kuwaombea sio kusimama kupambana nao.
@JamiiForums Kwakweli moyo wangu unaugua na kulia kuhusu haya, Mungu sisi watanzania tumekukosea wapi?ππ tunakuomba uturehemu kama kuna mahali tumekukosea, Taifa letu pendwa hatujawahi kufikia huku, hatujawahi kuwa kama wanyama #TanzaniayangupendwaMunguaturehemukwayote
@godbless_lema Taifa langu nchi yangu, Mungu akukumbuke, damu hizi ni hatari sana kaa taifa letu, ardhi ikipokea damu isiyo na hatia ni laana kwa nchi yetu, Kaini alipomwaga damu ya ndugu yake Habili alilaaniwa yeye na kula kitu anachofanya. Laani hii ni mbaya sana #Tanzaniayangu
@MbagaJoe@MariaSTsehai@Mwanaharakati__ Vitendo ni muhimu, Nehemia alipokuwa anaomba kulìkuwepo na wapiganaji wa mjo, hata siso tunaombea wapambanaji na zaidi tunaombea amani ya nchi yetu