@Getrude_mollel@kigogo2014@senior1v @sheby_yahya @Mapungo2020 @ngaso6_ngaso @Hb_cbe_2020 @mwewe_48 @mgangajoh Hii account niliuza kwa mtu mwingine nashangaa imefika kwako mpaka nafika hatua kuchafuliwa akat sihusiki na chochote na sijui lolote kuhusu siasa ebu mliweke sawa na @kigogo2014 HII ACCOUNT ilisha uzwa muda sana miaka km mi 3 TUELEWANE APO anae run hii account simjui
Hivi kumbe leo ndio tunamaliza na wale top 5 wote eeeh ( tumewafumua watatu , katufunga mmoja bado mmoja )
Halafu itabaki zamu yetu ya kucheka wengine ( Arsenal kacheza na watatu , Man City kacheza na wawili , Liverpool kacheza na watatu, Chelsea kacheza na wawili) 😀😀