Elon was a good student, but not a superstar.
When he was 9 and 10, he got A’s in English and Math. "He is quick to grasp new mathematical concepts," his teacher noted.
But there was a constant refrain in the report card comments:
"He works extremely slowly, either because he dreams or is doing what he should not. He seldom finishes anything. Next year he must concentrate on his work and not daydream during class. His compositions show a lively imagination, but he doesn’t always finish in time."
His average grade before he got to high school was 83 out of 100.
Source: Walter Isaacson's 'Elon Musk' (2023), chapter 3
Mtoto wa sita kuzaliwa aliyekuwa na ndoto ya kuwa Padri tangu akiwa mdogo. Msomi aliyebobea katika Maadili ya Kanisa na aliyefanyiwa Operation 3 kubwa za Uti wa mgongo, India na Marekani. Kadinali wa pili Mtanzania, Polycarp Pengo amefariki kwa matatizo ya moyo akiwa na miaka 81.
Kutoka Sumbawanga hadi Kahengesa na Kipalapala Seminary, kisha akawa padri. Akasoma masomo ya juu Roma Italia kisha akateuliwa na TEC kuanzisha Seminary Kuu Segerea. Kadinali aliyechagua Mapapa wawili. Hatimaye baada ya Miaka 55 ya Upadri na 43 ya Uaskofu Kadinali Pengo amefariki