@tuserod @MallabaOfficial Yes indeed, Primary Health Care is the cornerstone in achieving Universal Health Insurance coverage. Thanks for reminding us Daktari
Somo la leo: Mathayo 5:38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Ye have heard that it hath been said, An eye for an eye, and a tooth for a tooth:
Mathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; Ye have heard that it hath been said, Thou shalt love thy neighbour, and hate thine enemy.
Mathayo 5:44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, “But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;”
KWA NINI YAKOBO ALIPIGANA NA MUNGU NA KUMSHINDA!?, JE MUNGU HUWA ANASHINDWA NA WANADAMU?
UZI🧵
SHALOM! Mtu wa MUNGU, Nakusalimu kwa Jina la YESU KRISTO.
Nakukaribisha katika mwendelezo Wa Kujifunza neno LA Mungu na kupata MAARIFA,
GOD vs JACOB BOXING FIGHTS🥊
Let's Go..