@iam_mobam Mimi naamin Tanzania tuna wachezaji shida ni game planning inaharibiwa na mihemko ya mashabiki na Tanzania hatuangalii football inataka nini tunaangalia mashabiki wanataka nini kitu ambacho sio professional
@privaldinho Tutengeneze timu yenye quality player zaid hii kila kitu kinawezekana tuache kuipa timu yetu pressure ambayo hubadili game planning naamin young africa next season tutafika mbali sana
@mackphason Esperance wanafanya kitu ambacho yanga tulitakiwa tufanye ila tumekosa quality player weng, confidence ila naamin next season young Africans tutafanya vizur
@mackphason Yanga ina hofu, inabebeshwa mzigo mzito sana na mashabiki, serikali, na wadau wa mpira na ndiyo inawatoa kwenye game planning inawafanya wacheze defensive football hata nyumbani
Navyozitizama hizi nusu fainali za club bingwa africa bado Tanzania tunakitu cha kujifunza ukianzia team work, game planning na individual capability bado sana