@IMambya@George_Ambangil@JMariotz Sasa ndo useme man United pulling imepungua against spurs kweli mzee!
Hilo hoja yako ya bei hakuona kama ndo hoja iliyomfanya united ku step out??
@robkidayo_ Upo sahii kaka
Afu naona watu wanachukulia poa sana suala la mchezaji kufika pro level
Huwezi fika pale bila kuwa na talent isipokuwa talent zinazidiana!
@faresego@MtaaTall12813@INFLUENCERjr Hilo hakuna anaepinga kaka
Mimi naposhindwa kuelewana nawewe How come kuoa au kutokuoa itumike kama sehemu ya ku justify crime?