Huyu HOMERA ndie aliemuuwa SHADRACK CHAULA leo anatamba kwa kupiga picha na watoto wake huku baba yake CHAULA hajui mpaka leo alipo mtoto wake.
Chaula alichora PICHA ya Dikteta jike na kisha akaichoma, wakamkamata na kumfunga gerezani na baadae wananchi wakamlipia FAINI akatoka kuendelea na maisha yake.
Akiwa nje huyu HOMERA alikuwa anaumia sana kumuona CHAULA yupo huru na kwanini kalipiwa faini na wananchi, akaamua kumteka na kumpoteza mpaka leo HATUJUI CHAULA YUPO WAPI.
Afu leo anaona fahari kutupostia yupo na watoto wake kwamba yeye kama baba anaestahili sana kuona wanae wakikuwa na sio baba CHAULA.
Hii picha inaumiza sana, na HUYU huyu HOMERA ndie aliehusika kumteka ndugu yangu MDUDE aisee wewe HOMERA ipo siku utalipa haya maumivu tunayopitia watanzania.
UTALIPA TUU MZEE.
Mabibi na Mabwana CHAMA cha SIASA ni kimoja tu Tanzania nacho ni CHADEMA na KATIBU MKUU wa makatibu ni Mmoja tu Tanzania naye ni MNYIKA. Ukibisha muulize Happy ALLY wa ccm😂🔥🔥🔥🔥
UNAPOSHINDWA KUJISIMAMIA, KUTII SHERIA NA KUWALINDA RAIA WAKO, JUMUIYA YA KIMATAIFA NA MAJIRANI WANA WAJIBU WA KIUTU WA KUKUKUMBUSHA NA KUKUTAKA UFANYE HIVYO.
Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina, kukubali makosa yaliyotokea na kutafuta njia ya haki ya kuponya taifa, baadhi yetu tunaendelea kuzunguka kwenye propaganda za kijinga na simulizi za kujidanganya.
Kama alivyotuasa Bob Marley:
“You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people all the time.”
Ukweli unaweza kucheleweshwa, lakini hauwezi kuzimwa milele.
Tusipojirekebisha, tusipojiwajibisha, na tusipojenga misingi ya haki, ukweli na uwajibikaji, tutadhibitiwa na mazingira tuliyoyatengeneza wenyewe.
Tuwaunge Mkono Shaheen na Wenzake wote wenye mapenzi mema na Taifa hili na wanaotaka uwajibikaji.
Njia pekee ya kulikwamua Taifa kutoka katika mkwamo huu si propaganda, si vitisho, wala si kuficha ukweli. Njia pekee ni HAKI, UKWELI na UWAJIBIKAJI.
Bila hayo, hakutakuwa na maridhiano ya kweli.
Bila hayo, hakutakuwa na amani ya kudumu.
Bila hayo, hakutakuwa na Taifa lenye umoja na heshima.
Tusipojidhibiti, tutadhibitiwa. Historia imethibitisha hilo mara nyingi.
BAK MWABUKUSI.
🇪🇺 Bunge la Ulaya lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Mwaga moto mwingi wanangu kama madragon.🔥🔥🔥
REPOST 200
Huku Brussels “BUNGE LA ULAYA” leo linapiga kura wanangu.🔥🙌🏿
Huyu DIKTETA JIKE dunia imemkataa kama MAITI YA FARAO.
TUTAKUWEPO KUSHEREKEA HAPA HAPA.
REPOST 200
"Jeshi la Polisi limkamate Kenani Kihongosi aliyesema anajua kuna kikao cha Chadema kimekaa mahali fulani kupanga vurugu, ili akaeleze hicho kikao kilikaa wapi na kinawahusu kina nani." Mhe. @jjmnyika
"Tunamtaka Waziri Mkuu aseme ni kwa nini haijahakikisha Msajili wa Vyama vya Siasa ameingiza fedha za Chadema kwenye Akaunti ya Chadema." Mhe. @jjmnyika
🙄 Nimetaarifiwa - Kimama anataka kuacha “legacy” ya DGTISS wa kwanza mwanamke ati!
Mliokuwa mnateka na kuua mkijua mtapachikwa hapo poleni!
Mi nasema jinsia siyo sifa it is a biological difference! Tusibaguane wala tusizidishe kama sifa!
Haya #TutaelewanaTu#SamiaMustGo
@chapanombombwi utamnyamazishaje huyu kwa propaganda za kijinga za Hapi katibu wa Wazazi CCM?
Nchi imevimba hata mkiwatisha na kuwauwa hawana cha kupoteza.