The 2022 Toyota LandCruiser LC300 VX (4x4). Chuma hiki amekabidhiwa Jenerali mstaafu, Venance Salvatory Mabeyo. Proper sendoff kwa CDF mstaafu baada ya utumishi. Bei ni US$85,165 (Sh198.56 milioni). The universe has rewarded him accordingly. Lakini, ‘OPERATION MKIRU’ imemtia DOA!
Akiwa Bulela Geita Waziri Makamba Amewahakikishia Wananchi kuwa wataunganishiwa umeme kwa Elfu 27,000 tu.
Pesa Zipo, Vifaa Vipo, amemtaka mkandarasi ahakikishe wananchi wawe wameuganishiwa umeme kabla ya Christmas ya mwaka huu.
Tuwe serious wazee kweli mlishindwa kuprint Jersey Mpya Kwa ajili ya Mdhamini mpya Hadi Mkabandua Mdhamini wa Awali na kumuweka mdhamini mpya Juu. Ni kweli Huko Ukoloni kuna "Swaumu" kiasi hicho?