Sote tunajua Kuwa hatuna bunge, Bunge lililopo halitambuliki kikatiba ukirejea katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu uhalali wa bunge, ibara ya 21(1) – inampa kila raia haki ya kushiriki katika uongozi wa nchi, moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa.
Ibara ya 22 – inahusu haki ya kushiriki katika uchaguzi kwa masharti ya Katiba na sheria. lakin cha kushangaza ni kwamba oct29 ilikuwa siku ya mauaji cyo uchaguzi huru, binamu yangu ni ccm pure ila siku alivyotoka kupiga kura akirudi nyumbani alikula shaba huku Ana kialama cha kuonyesha alipiga kura, na ilikuwa saa 5 asubuhi baada ya hapo kila kitu kikaharibika how come niseme hili bunge ni halali?
ndio maana hawajali kuhusu bajeti waliyoipitisha,
ndio maana hawajali kuhusu tozo na kodi walizomsukumia mwananchi,
ndio maana wanapambana mama zao wapate bima ya afya kwa mgongo wa mwananchi
ndio maana hawana hoja ata moja wanayoielekeza kwa mwananchi yenye maslahi kwake
ndio maana kila siku wapo mbele kuendekeza uchawa wa kujipendekeza kwa mama yao ili aone wanafanya kazi,
ndio maana hakuna ata mmoja aliyeweza Jana kumpinga yule bwana katambi mbele ya bunge,
hili linakupa picha gani kwako common mwananchi?👇
Inakupa kabisa uthibitisho halali wa Kuwa hujawachagua kwahyo hawawezi kukusemea huko,
Linakupa alert yakuwa yeye cyo mwakilishi wako bali ni mwakilishi wa aliyempa dhamana yakuwa hapo alipo ambaye ni mwenyekiti wao wa chama
Ndio maana hakuna siku utaskia kuna waziri anajiuzulu kwasababu ya maslahi ya mwananchi,
ndio maana hakuna mbunge anajiuzulu nafasi yake kwa kushindwa kuwapigania wananchi wake,
Enyi watanzania amkeni sasa tuwaonyeshe wao kuwa sisi pia ni watanzania tunaostahahili kupata huduma stahiki kwenye taifa hili
Sisi pia tunastahili kupata nafasi ya kutoa hoja zetu na kuikosoa serikali bila kutishiwa au kupotezwa, kuna kitu kinaitwa free speech, lazima tuwe na freedom ya kuikosoa serikali panapostahili, Hiyo ni haki yangu kikatiba
Usitegemee kuikanyaga katiba kwa kuikiuka utegmee sisi tunyamaze, utatuwa sana ila haitakuwa mwisho wa sisi kunyamaza,
mizimu yetu bado italilia haki, uzao wetu bado utalilia haki, it's just a matter ya ww kukubali makosa na kuirekebisha kwa kuleta tumaini jipya kwa mwananchi na siyo kuendelea kumkandamiza
Kwako mheshimiwa waziri mkuu @mwigulunchemba1 .
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania🇹🇿 .
Ndugu waziri mkuu,Naomba kukumbusha yakuwa hata baada ya vile vikao vyako vya kujifanya unatafuta ufumbuzi na suluhu ya kurejesha amani kea wananchi, kumbuka yakuwa hakuna Majibu sahihi uliyowahi kutoa dhidi ya maswali haya kwa wanahabari waliokuuliza,
swali langu ni hili, je siku tukichukua madaraka, upo tayari kutupa ushirikiano tutakapo kuhitaji?
Je Hivi unajua Kuwa mpaka muda huu kuna familia zimezika viatu na nguo kisa watu kunyimwa miili yao?kwani hawakuwa na haki ya kuwapumzisha wapendwa wao atakama mumewaua kwasababu zenu za kisiasa?
Je nyie kama serikali,mnaona kabisa Kuwa hali ya kiusalama dhidi ya raia ni shwari nchini?
je mnajua ni watu wangapi wamepotezwa na kuuwawa kikatili kwasababu ya kuikosoa serikali ukiachana na Watu maarufu Kama mdude, soma, polepole nk?
Je mmechukua hatua gani kudhibiti utekaji na mauaji ndani ya nchi yetu?
Ndugu waziri mkuu, naomba utafakari kwa kina tena kwa upya hatma ya watanzania kuhusu usalama wao,
tunajua hali nchini kiuchumi si shwari kabisa,
tunajua hali si shwari nchini kuhusu idara nyeti ya afya lkn mumeweka mikakati gani?
Nakusihi mzee wangu kama ikikupendeza jiuzuru nafasi Hiyo kabla mambo hayajabadilika
ni wako raia mwema h.kilesi
Zile NYOMI za CHADEMA ilikuwa lazima tuu wasenge warudishe nchi GIZANI.
CHADEMA ilikuwa inapiga PAIPU back-to-back sio poa. Sasa vilaza hawana majibu ya hoja zetu wanaamua kurudisha nchi GIZANI.
Huu ni ushahidi mwigine kuiambia DUNIA Tanzania tupo UTUMWANI tunahitaji msaada.
Waziri Wa Mambo ya ndani acha Kuvunja Katiba.
MLINZI WA KATIBA ? AU MVUNJA KATIBA?
Waziri wa Mambo ya Ndani hana Mamlaka yeyote ya Kuzuia au kutozuia Mikutano ikiyoruhusiwa Kisheria. Aidha siyo jukumu la IGP kutoa vibali vya mkutano au ruhisa ya mkutano.
Mukutano ya ndani ya vyama inaratibiwa na vyama vyenyewe na Jukumu la Polisi nikutoa Ulinzi tu.
TLS imepokea kwa mshtuko taarifa hizi na tutakaa na kuona namna ambayo tutachukua hatua za kisheria za ndani ya nchi na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakaye jaribu kutekeleza agizo hili Haramu na Batili kwa kukiuka Katiba na sheria za nchi.
Tafsiri
“Guardian of the Constitution… or Its Chief Violator?”
The Minister for Home Affairs has no legal authority whatsoever to prohibit or permit meetings that are lawfully allowed under the law. Equally, it is not the mandate of the Inspector General of Police (IGP) to issue permits or authorizations for meetings.
Internal meetings of political parties are regulated by the parties themselves, and the role of the Police is strictly limited to the provision of security and maintenance of public order nothing more.
The Tanganyika Law Society (TLS) has received these developments with profound shock and concern .
We shall convene urgently to determine appropriate legal measures, both domestically and internationally, against not only against this position but also against any individual or authority who will attempt to implement this unlawful and void directive, in blatant violation of the Constitution and the laws of the land.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT, TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS)
Huyu alikua CHADEMA,baada ya kulamba asali na kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani amekuwa mwehu kuliko aliokuwa akiwasema.
Viongozi vigeugeu kama hawa hawana uwezo wa kuishauri au kuikosoa mamlaka zaidi ya kutumikia nafasi zao.
Watanzania tumpotezeee Mwigulu Nchemba. Asitutoe povu wala kupandisha pressure. He is a lost cause.
Mwigulu Nchemba anajua Samia akidondoka na yeye amekwisha….
Siku moja niliona umeandika mtandaoni kuwa unachukizwa sana na watu wanaoisema familia yako vibaya, hususani ulivyokuwa uki-post picha ya mtoto wako huku watu wakikejeli kuwa mtoto wako ameshiba kodi zetu.
Sasa, Mwigulu, ulishawahi ku-imagine namna, mke au watoto wa Ally Kibao huwa wanajisikia baada ya baba yao kuuwawa kikatili ? Au Ben Saanane au familia ya Msafiri Mbwambo aliyeuwawa kwa kuchinjwa kwa chain saw wkt ule wa uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki wewe ulipokuwa unaratibu kampeni za CCM ? Mna mchapa mtu halafu akilia, mna mchapa tena kwa nini analia ? Very Narcissist personality.
Chama chenu kimejenga chuki kubwa sana ktk jamii. Hata tofauti ya watu safi na wabaya ndani yenu haionekani tena hata kama wamo. Na hatari yake kila mtu anavuna kejeli ya collective responsibility. Pigeni U Turn Acheni Kiburi !
Mnashangaa watu kufurahia matatizo yenu lakini hamhuzunishwi na watu wanaopotea na kufa bila miili hata miili yao kupatikana ? Mnafikiri nyie mnapaswa kuishi kwa starehe tu lakini the rest waishi maisha ya wasiwasi ?
Anyway, unakumbuka mjadala wangu Mimi na wewe wkt ule ukiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mimi Waziri Kivuli kuhusu mawuaji na utekaji ? Leo nitaishia hapa.
Pigeni U Turn Acheni Kiburi. Mmeumiza sana watu na Nchi , mateso yamegeuka hasira na hasira imeumba chuki. Kuna njia mbele ya kutoka hapa , nayo ni HAKI.
Wasiione WAKENYA hii.
Imagine hawa ndio wanatakiwa kujadili mikataba yakina DP WORLD. jitu hata kujieleza dakika 1 haliwezi.
Kama taifa tupo kwenye nyakati ngumu sana.
.. @realDonaldTrump
Tanzania too needs intervention from the United States, and it would be a win-win situation for both countries. If the U.S. assists Tanzania in removing an illegitimate government that murdered over 10,000 Tanzanians in just 3 days majority of whom where Christians, Tanzania would be able to establish a transitional government, get a new constitution, and hold new free and fair elections. In return, the U.S. would replace the corrupt evil countries such as China, Russia, the UAE, and Oman, which are currently looting our natural resources while enabling and supporting the illegitimate government that murdered thousands of its own people to remain in power.
Tanzanians want strategic business relationships only with countries that will hold our government accountable for how it treats its citizens and ensure that democracy is upheld.
@realDonaldTrump We cannot vote them out because the elections are a sham, and when we protest, they shut down the internet and we are mercilessly shot till will stop protesting. This is what happened in Tanzania between October 29 2025 and November 1st 2025. We are being held hostage in our own country by a few corrupt-evil individuals who are protected by the police.
@_AfricanUnion, SADC and other African bodies are useless. It’s been 2 months since over 10,000 Africans were shot and killed by their own government and they have done nothing to assist Tanzanians. The US and EU is the last hope for Tanzania. If help doesn’t come Tanzania will end up like DRC as rebel groups will start forming to fight the illegitimate government.
@realDonaldTrump I pray someone shows you the photos and videos on this page which document some of the killings that took place and hopefully this will give you the courage to help a nation that is currently helpless and being terrorized by its own illegitimate government.
She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….