Sadaka inaongea, sadaka inabariki. ✨
Wema unaishi.Watoto wako watakumbatiwa na watu wasiojulikana kila watakapokwenda, na wataitwa wabarikiwa.Tutende wema kadiri tunavyoweza, kwani mbegu tunayopanda leo ndiyo kivuli cha watoto wetu kesho.🙏♥️🫂
Wanapoondoka halafu wanarudi tena...
1. Usisahau kwa nini waliondoka.
2. Na Jiulize kwa nini wanarudi tena.
Kabla hujawafungulia mlango mara ya pili WACHUNGUZE SANA KISHA FIKIRI.🤝