GOOD MORNING MY LOVESโบ๏ธโค๏ธ
Please like, comment, share and retweet
NDOTO YAKO YA UJENZI, ARDHI NA MAENDELEO INAANZIA HAPA!
Unatafuta mshirika wa kuaminika katika masuala ya ujenzi, ardhi na maendeleo ya makazi? @GeoConstructors na @Geo_Traverse ipo kwa ajili yako, ikikupa huduma zinazolenga ubora, weledi na thamani ya uwekezaji wako.
๐น HUDUMA ZETU
โ Ujenzi wa majengo
โ Ununuzi na uuzaji wa viwanja
โ Upimaji na upangaji wa ardhi
โ Uchoraji wa ramani za majengo
โ Uratibu wa vibali vya ujenzi
โ Ushauri kuhusu ardhi na miradi ya ujenzi
KWANINI GEOTRAVERSE?
โ๏ธ Weledi katika utoaji wa huduma
โ๏ธ Kipaumbele kwa ubora na usalama
โ๏ธ Uaminifu na uwajibikaji
โ๏ธ Kujali mahitaji na malengo ya mteja
Usiache ndoto yako ibaki kuwa wazo. Chukua hatua leo na tushirikiane kuifanya iwe halisi!
๐ WASILIANA NASI LEO
0719 336 667
0763 782 274
๐ Tovuti: https://t.co/jgzJSKHZ4M
๐ Mahali: Barabara ya 9, Tisa, Dodoma
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Tunajenga Maadili, Tunajenga Maisha!
#GeotraverseGroup #Geotraverse #UjenziTanzania #ArdhiTanzania #UpimajiWaArdhi #ViwanjaDodoma #RealEstateTanzania #ConstructionTanzania #Dodoma
@msaka_Daily Ouya sio poa mimi mwaka 2023 nilicarry chuo wakati ambao kaka mkubwa ni mgonjwa mahututi kaka anaemfuata alikamatwa akamuacha mke wake hospital kwa kufanyiwa operation kipindi hichohicho nikagongewa aisee katika mateso ambayo nishawahi kupitia tangu nizaliwe ni hiko kipindi
@mTusiOriginal Usikubali kutumika mkali, Kuna wadada wawili kila siku wanahangaika kunipata lakini point yangu ni moja tu sigawi shahawa zangu kirahisi