Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako!
Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako!
Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako!
Nawe utawanywesha mto wa furaha zako!
Nakoshwa na juhudi anazofanya Waziri @JMakamba katika kutunza mazingira yetu. Mazingira muda sasa ilikuwa kama ajenda iliyofubaa, isiyo na tija kuwekewa motisha na mikakati mujarabu. Alipoteuliwa tulijisemea kaka Janu anaenda kufa kisiasa,ila ndio kwanza kazi bora zinamng'arisha.
Mwenyezi Mungu alipotaka kuuthibisha kuwa yeye ndio mkuu, Alitengeneza kila kitu, mfano wewe huna kitu chochote mbele ya Mungu, unakuta kidole kinaota, unakuta nywele zinaota, unaona miti inaota, unaona mikono inakua 😁"Sheikh
#NitunzeNikutunze#DiniNaMazingira
Zinedine Zidane akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kombe la Dunia Qatar 2022 Hassan Al-Thawadi, Doha Qatar, Septemba 16, 2010. Imeripotiwa kuwa Zidane alilipwa zaidi ya TZS bilioni 30 kusaidia campani ya Qatar kufuzu kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2022.
Mnakusanya mapato kwenye stendi za magari lakini maeneo ni machafu, hakuna hata dustbin za kutunzia taka. Hizo mapato mnazokusanya mnatumia kufanya nini.?
We are humbled! + inspired to do much more!
EVERYONE little by little makes all the difference. 🔥💪🏻👇🏻👇🏻 #GlobalGoals#oneyoungworld#OYW https://t.co/svR7ZzgG84
Unyanyasaji na udhalilishaji kijinsia ni tatizo kubwa sana mashuleni ambalo tumelifumbia macho muda mrefu. Kesi hii ya sasa isiishie kwa huyu mwalimu bali iwe ni mwanzo wa zero tolerance kwa unyanyasaji huu. Sote tusinyamaze. Tutokomeze unyanyasaji kijinsia wa mabinti zetu.