Botswana continues to work tirelessly to improve her exports to South Africa & to the rest of the world, in terms of volume, variety & value. We aim to do this mainly by participating in bilateral value chains with South Africa.
@OfficialMasisi South Africa has thought it exist to export forever. Its best if its custom system is prepared for this. There are lots of complicated procedures when items are brought to SA
@HKigwangalla Naona watu wanamtusi kiongozi.
Yesu, kuishi kwake kote duniani hakuwahi kumuambia mtu yeyote ana akili sifuri. zero brain ni kama mbuzi hawezi kuvaa nguo. Na huyu havai nguo?
Hekima umoja na amani haziwi ngao zetu kwa sasa?
Kaka Kigwa, mama akikuita tena usinisahau ufalmeni
@AmbakisyeMwak11@HKigwangalla Yesu kuishi kwake kote duniani hakuwahi kumuambia mtu yeyote ana akili sifuri. zero brain ni kama mbuzi hawezi kuvaa nguo. Na huyu havai nguo?
Hekima umoja na amani haziwi ngao zetu kwa sasa?
@MarkMwandosya@MkukiNaNyota@TPHbookshop Wengi hutamani Nyerere awe role model wa watanzania. Lakini watoto hufanya anacho kifanya baba. kama akina kinana na kikwete na samia na mwinyi na mkapa ni matunda ya Nyerere, ni wazi angekuwa hai kusingekuwa na mabadiriko because they use his idiology.
@MarkMwandosya@MkukiNaNyota@TPHbookshop Ukweli sina comment yeyote as i believe actions speak louder than words. mzarendo JKN angetamani kuona tunatumia bidhaa zetu lakini utaona panel yote ya uongozi wa ccm iko equipped na imported material kuanzia viatu na mavazi na wamama mpaka minywele ya wahindi. so nasty.
tu, zuieni mitumba, zuieni vitu wafanya biashara wanao agiza bidhaa nje na waanze kuagiza ndani. hizi ni ajira za watoto wetu.
@ccm_tanzania@ccm_zanzibar
@ortamisemitz Nina jambo nalileta. mmeagiza wanafunzi wavae viatu vyeusi na soksi nyeupe. Tulidhani mtaagiza pia waziri wa viwanda ahakikishe vitu hivyo vinapatikana hapa tz. badala yake Kenya ikaona fulsa na kuingiza bidhaa hizo.
2019 kidato cha IV walikuwa 425,000. which is to
Nipo hapa mpakani sirali. huona ngozi zikipelekwa Kenya kutoka Tz. Kiwanda cha viatu roughly ni milioni 80. Msingeruhusu mitumba na vitu vya nje, viatu tu, vingetoa ajira za kutosha. kila mkoa uwe na kiwanda kimoja. wafanya biashara tuko tayari kuleta viwanda hivi kwa sharti moja
@ortamisemitz @SuluhuSamia Tz itabaki na mkuu wa mkoa mmoja tu, nae ni yule anayejiuliza kwanini tuna import bidhaa flani na tuna uwezo wa kuizalisha katika mkoa wetu. Yule anayewataka wafanya biashara walete kiwanda husika cha kuzalisha bidhaa inayohitajika. Tunayo ngozi manyara. Tumevaa viatu vyake?
@ayubu_madenge Taasisi ya urais tz inajichanganya sana, huchangia kurudisha maendeleo nyuma. Huyu alikuwa na project katika mkoa wa kukuza elimu na kilimo. hajamaliza mradi unamhamisha. Maono ni ya mtu mmoja. Usishangae @HusseinBashe
kupewa ubalozi nchi flani in the near future.
@BarackObama Did we read this? The secret Terrorists by Bill Highes?
It details how terrorists have terrorized the US that it will neither be free nor superpower forever.
https://t.co/JrQILMMzzw