@ReaganMichael5@JumaAyoo@Tanfootball Kama wewe Uto ndio utatoa adhabu kwa TFF basi watakuwa watulivu ila kama wao ndo watoa adhabu basi Uto mnapaswa kuwa watulivu Mara 100
@BHAFCWomen Hakikisheni kila game anaanza sio kupost tu sura yake na jezi yake Humu ili mpate attention kwa watanzania, waulizeni Aston Villa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ