Tundu Lissu; Mwaka 2013 palikuwa na chaguzi ndogo za madiwani maeneo mbalimbali ikiwemo Arusha mjini. Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo Freeman Mbowe akaenda kufanya mkutano wa kampeni. Watu wakashambuliwa kwa bomu la mkono na watu kadhaa wakauwawa katika mkutano wa kampeni. Tukarudi tena kuandamana kudai haki itendeke. Tukakamatwa tena; mimi, Dkt. Slaa na wengineo. Nilikuwa sijawahi kumuona Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe akiwa na mbio kama siku hiyo. Nakumbuka, yeye alichoropokaβ¦
MAHAKAMA; π€£ππ€£ππ€£ππ€£ππ€£π