Niliwahi kuwa na account ya Bank fulani, lakini sikuwa naweza kuihudumia, sina cha kudeposit wala kufanya transaction yoyote ile hadi account inakuwa dormant.
Nikataka kuipotezea kabisa niifunge niachane nayo.
Jamaa angu akanishauri usiifunge, pambana weka hata liten iwe tu active!
Huwezi jua kuna siku itakufaa utaihitaji sana!
Nikafanya hivyo!!
Kuna siku nikapigiwa simu na rafiki wa zamani akaniambia amepiga mshindo anashida na account ya bank aingiziwe hela humo!!
Ilikuwa ni 150M na akasema kama nina account basi mimi nitaokota 10% ya hiyo deposit.
Nikafanya hivyo nikavuta 15M shwaaa!!
Nikajisemea moyoni Asiefaa kafaa!
Mungu sio Hashim Rungwe!!π
Hii Tweet Haihusiani Na Account Ya Bank
KAMA UMESOMA CUBA!!
@EMwambozi@mdudenyagali Hivi kwa style hii watekaji watajulikani mikakati yao ni muda mrefu au mfupi na je ni genge la watu wangapi, me nadhani kuwaua sio suluisho bila uchunguzi wakiwa chini ulinzi ili upelelezi ufanyike hilo ni tukio kubwa. Nani yupo nyuma yao na wako wangapi na muhusika wa mpago
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
@Ntobi_ @Ladymaassay Unaharabu chama, utimu unadhani utaisha baada ya uchuguzi ukiisha na kukitumikia chama na wanachama mtawatumikia ki-kitimu? π€π€π€