@mvimbamacho @Surangumu1 @godbless_lema@ExMayorUbungo Wangekuwa wanafuatilia mambo wangeelewa SEMA tu ni ajira ya kipumbavu iliyoko ccm ndio wanaitumikia! Sisi tunakuelewa kwa matamshi haya ndio heshima tunampea ๐๐ปsometime hao wanao msakama LEMA sio kosa lao maisha mjini magumu kuishi chumba kimoja kinatenganishwa shuka na mzee๐๐ฅด
@Bnlade14486375 @ZamaMpya_ Yuko vizuri sana! Hivi nyie watu mbona wasahaulifu sana? Yuko hspo kimkakati! Katumwa kuyasema hayo ili mjue anaropoka moja yakazi na sherti kurudishwa hapo ni kufanya hayo! Hatafanywa kitu! Msipumbazwe daini katiba mpya ujinga waachien hao wafu ccm!