@Thommunkondya Maridhiano ya nini wakati mh raisi alivyokuwa anaapishwa waliouwawa ni wananchi wa nje na ndio walifanya fujo sasa hayo Maridhiano ni ya wananchi wa nchi gani labda na ndio maana hata miili haikuonekana ingekuwa ya watanzania wangepewa .
@mangekimambi Binafisi aliponiacha hoi ni pale aliposema viongozi wa chadema wataishia gerezani kwa hii tume ya jaji lila je kwa hiyo anajua kila kitu kuhusu hiyo tume ilivyotoa au yy ndio mahakama nawaza tu si elewi hata kidogo @mangekimambi
@TheRealEkiswaga Twambie maana ya uanaharakati km hamjakaririshwa hata baba wa taifa alikuwa mwanaharakati msitufanye wajinga kiasi kwamba hatuna akili .
@Mwinshehe07 Ccm hawastahili kutetewa popote pale ni wanachama wangapi wameuawa lini ulisikia wanatoa pole km sio ya unafiki tu tumepoteza ndugu zetu October 29 mbona hatujapewa pole zaidi ya mipasho tu
@mangekimambi Huyu bora wangemfunga kwenye ile kesi ya ugaidi maana vijana wameumia na kupoteza maisha kwa ajiri ya mapambano kumbe yy alikuwa anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa inaniuma saana .
@HildaNewton21@MariaSTsehai Kusema ukweli mm si mwamini hata kidogo hayo maneno ya chimbi hata kwa %70 nitakuwa wa mwisho maana kila mwanaccm ndio wale wale naneno matamu vitendo sifuri kabisa @HildaNewton21 .
@ProsperMasau Ndio maana tunafanyiwa kila kibaya kwa sbb hakuna mtu wa kututea na kusimamia sheria zaidi ya mabavu na kujipendekeza kwa mabosi wao hawajui vizazi vyao na vyenyewe vinaweza kupita kwenye moto mkali km huu tunaopitia .
@mangekimambi@Dragon_2181@Liberatus80 Una akili saana @mangekimambi duh yaani upo super power ambayo kwa kilaza km mm ningeingia mkenge na usingeweza kujikwamua kwenye uchadema na kuwa mwanachi ambaye anaipigania tz asante sana.