Hata akila hela zote za chama kwa kazi nzuri inayofanywa na Mhe Heche tutamchangia nyingine ili azile!
Tuhuma hewa za hela za CHADEMA nguchiro za CCM na matawi yake ndizo zinazoumia na kulalamika, ila mabilioni yanayotajwa na CAG kuliwa husikii hata nguchiro moja ikilalamika!
Happy birthday my brother @HecheJohn
Mwenyezi Mungu akujalie miaka mingi ya afya na furaha tele na akulinde dhidi ya waovu
Keep walking down the hard but righteous path 🙏🏽
Have a wonderful day!
Watanzania wote kwa pamoja tuwalinde hawa viongozi kwa wivu mkubwa sana hawa madhulumati Wana nia mbaya na nchi yetu wanahonga pesa sana ili kuwachafua viongozi wetu @HecheJohn usitishike na maneno ya vikaragosi na wachumia tumbo watanzania tupo na wew
Kaka @HecheJohn wala usifadhaike Hakuna muhuni atakuchezea wala kukichezea chama hiki @ChademaTZ2 tulipokuwa tunafanya mabadiliko ya uongozi tulijua mambo yatakayofuata Ila nikuahakikishie tulijipanga hivyo Usijal tutalinda image yako na taasisi Kwa wivu mkubwa sana.