@JamiiForums Social skills ni muhimu sana, ili uweze ku survive mtaani/jamii
Mbaya zaidi watu wengi (sio wote) wanakosa social skills hasa watumishi, thus why baada ya kustaafu hawachukui round wana dedπ
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjueπ€£
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
TAKE THIS BROS AND SISTERS.
Mwanamke mjinga mjinga anaamini kabisa katika kuwekeza kwenye urembo kama namna ya kuvutia wanaume ili kupata huduma.
Ndiomaana tunasema the more unahitajikuonekana mrembo, the more unajiona mbovu zaidi.
Hii ndio sababu utakuta
1. Demu ameji cream kuwa mweupe,
2. Baadae hatosheki huyo huyo anatoboa masikio mara nne.
3. Haitosho huyo huyo anatoboa pua.
4. Anajiona hajawa mzuri anachora tatoo.
5. Huyo huyo makucha makubwa.
6. Hatosheki anaanza kuvaa nguo za hovyo.
Ndiomaana siwezi recommend ku set goals kwa mwanamke wa namna hiyo infact hawana akili.
They think form pussy point of view na hapa disrespect zinakuwa zimejaa. Sifa kuishi nae ni kumpa pesa na wanajua sana ma ngono kwa bed. Sometimes wanatoa ndogo.
Si recommend mwanamke wa aina hiyo kwa bro yeyote.
Maisha hubadilika unapoelewa kila dkk na saa ina thamani fulani. Kama unalipwa 600K kwa mwezi maana yake unakula 20K kwa siku. 20K kugawa kwa saa 8, unapata 2500 kwa saa. Hii ni THAMANI ya SAA yako 1.
Next time Fikiria, ukitaka kuspend 10K ujue unatumia saa 4 za maisha yako.