@N3sty09@mananajr_ koo za kichagga ni kibwa mno ila kiuhalisia chimbuko ni moja hvyo basi kama asili ni moja ina maan ni ndugu labd kwa wale ambao wanaonunua ukoo sema umbali, maisha na vit kama hvyo vimepelekea watu kutawanyika na kutojuana ila ukichimba vzur kuna Lyimo kati yao n ndugu yako