@namungo_fc Hzi ni hujuma za kikundi cha watu wachache kwa makusudi Kwa maslahi yao either kisiasa au mambo mengn wanafnya haya, huwez kuniambia ni
Mateja
Short ya umeme
Au usaulifu wa majiko ya Moto kwa mamantilie.
Serikali inapaswa kuwa Seriously ktk hili, kulipa kipaumbele ktk kudeal nalo
Tunaenda Tanga tarehe 14/02/2022 siku ya Valentineโs Day nia yetu ni kufuata ushindi ๐ @Coastalunion_fc mtuombee tusikubwe na majini mahaba ya kitanga ๐
@privaldinho Mmeona offside hiyo tuu kwa yanga lakn foul mlizokuwa mnacheza njee ya 18 kwa yanga na akapeta hamsemi wakati huo feisal anawkewa ugal tuu foul na kad juu
Yanga watu wanacheza viwiko na kukanyaga watu maksud hata kadi hmna