We kadogo ni KAKUMA SANA sasa acha nikupe SHULE.
Jana nimeambiwa umejitapa wewe ndio umefanya account zangu kufingiwa baada ya mimi kusema zimefungiwa.
Sasa nakupa hii shule na kwaniaba ya MAKUMA wote unaoenda kuwafundisha Chaka tu chaka.
Kosa langu accounts mbili kufungiwa ni kuwa zote kwenye Divice moja. Account ambayo ilipelekea account ya sports kupotea ni account ya HARAKATI.
Mpaka sasa nimeshafungiwa accounts 15 na instagram na zote zinafungiwa baada ya kupelekea moto hao MAKUMA wanaokulipa kufundisha misukule wenzio.
HII ACCOUNT HAINA MASAA MATATU ISHAFIKA 40K NA NAWEZA KUFUNGUA NYINGINE SAIZI KABLA YA SAA 6 USIKU IKAFIKA 50K.
MIMI SIO LEVEL ZAKO, ACHA KUJIPA UMUHIMU MIMI SITOMBI MISUKULE, MKUNDU WAKO MPELEKEE MUMEO GIRISHONI.
Tanzania ndio nchi pekee Africa na duniani kiujumla kwa kuongoza kua na vijana mangโombe wajinga wapimbavu washenzi mtu yeyote alifanikiwa anageuka adui kwao zaidi akiwa na umri wao Tanzania ndio nchi pekee inaongoza kwa vijana kutaka utajiri bila kufanya kazi Tamaa jumapili wako kwa Gwajima ijumaa kwa Shekhe mazinge jumamosi kwa mwamposa jumatatu kwa mganga kutaka utajiri wa haraka jumanne wanatafuta filimasoni ilipo Very Stupid generation ukiwakuta social network wako busy kuikosoa serikali wanangu hakuna serikali itakayotafuta chakula cha watoto wako tukiwa Kama vijana tuachane na propaganda za siasa tujikite kufanya kazi kwa bidii kuwekeza na kujitafuta hatuwezi fanikiwa kwa kusingizia tunakwamishwa na watu au taasisi embu acheni upumbavu Tafuteni hela shenzi
Ubalozi wa nchi mbalimbali pamoja na Umoja wa Ulaya wametoa tamko wakisisitiza Serikali ya Tanzania kuachia haraka miili ya waliouawa katika matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Tamko hilo limetolewa kwa lengo la kulinda heshima za familia na kuheshimu haki za binadamu.
Mabalozi wa Uingereza, Canada, Norway, Uswisi, Ubelgiji, Denmark, Ufini, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Poland, Slovakia, Hispania, Uswidi, pamoja na Umoja wa Ulaya, wameeleza kusikitishwa na vitendo vya mauaji nje ya utaratibu wa kisheria, kupotea kwa watu, na ufichaji wa miili ya waliopoteza maisha.
Wametoa wito wa haraka kurejesha miili hiyo kwa familia zao ili waweze kufanyiwa mazishi kwa heshima.
Pia, tamko hilo linatoa wito kwa Serikali kuachia huru wafungwa wa kisiasa, na kuwapatia misaada ya kisheria na matibabu waliokamatwa.
Mabalozi hao wanasisitiza kuwa uchunguzi wa matukio haya ufanyike kwa uhuru, uwazi, na ushirikiano na asasi za kiraia, taasisi za kidini na wadau wa kisiasa, ili kufanikisha haki na maridhiano nchini.
โHii ni sehemu ya jitihada za kimataifa kuhakikisha Tanzania inaheshimu haki za binadamu na kuendeleza amani na utulivu kwa mustakabali wa taifaโ taarifa hiyo imesema.
#KitengeUpdates