Kuna utabiri ulitolewaga na Marehemu Shekhe Yahaya nadhani ilikua ni 2010, kwamba baada ya JK atakuja rais ambaye hatakaa madarakani muda mrefu atakufa kisha mwanamke ataongoza nchi kwa muda mfupi kisha 2025 upinzani watachukua nchi. Kama naanza kuelewa vile.
.. Haya mtumishi wa Mungu mwingine tena. Msikilize Rose muhando akieleza namna alivyodhalilishwa, kudhulumiwa na kutishwiwa kuuwawa huku akikosa mahali pa kwenda kushitaki. Inasikitisha sana
Spika kapatia kutujulisha hatari za mikopo. Atujulishe na hatari ya kulipa mishahara wasio wabunge. Amalizie kutujulisha uhalali wa sheria zinazotungwa na wasio wabunge. Askofu Bangoza
@Twaha_Mwaipaya Hili Deni bila kuwa na wabunge wapumbavu 19 wale deni lisingefikia huko kwakuwa tunamihimili mibovu ndomana tunapata madeni yakipumbavu Kama haya
Ndugai akiwa anaendelea kushangaa ukubwa wa deni la Taifa ambalo kimsingi yeye na Bunge lake ndio tatizo,
Akumbushwe vilevile hasara Taifa linapata juu ya wanaoitwa wabunge wa viti maalum CHADEMA maarufu Covid_19.
JE nchi haipati hasara!
Mwingira amelalamika kuhusu hapo nyumba kutaka kuumizwa na maafisa wa serikali pia mali zake kuharibiwa
TAARIFA ya polisi inasema watamhoji ndani ya 24hrs kuona kama amefajinai
Sasa wanakataa vipi madai yake kama ndio wako hivyo ukiongea wanakutafutia jinai?!