@Gahoile13@HabarimpyaTv Nlimlaumu kigwangala juzi alivyotukana vijana kuwa wana uwezo mdogo wa kufikiria .. kumbe ana kutan na watu aina yako ni huzuni snaaa
@IAMartin_@ummymwalimu@nhiftz Hawa NHIF mmi mmekuwa matapel wa afya zetu kama matapel wengine tokea mwaka jana mnakata hela zangu za uchangiaji mwka huu nimeomba maombi ya bima tokea mwez wa saba mkanijibu wa nane mpk leo mmeptea kila nikifatilia mnasema kuna tatizo sjui la nni mpk leo @ummymwalimu
Msikilize Waziri Wa Zamani Wa Maliasili Na Utalii Hamisi Kigwangalla Wakati Huo Akiongelea Kuhusu Mgogoro Wa Ngorongoro Na Kampuni Ya Mfalme Wa UAE Inayoitwa OBC
Kisha Baada Ya Kumsikiliza Niambie Nini Maoni Yako?