@GillyBonnyTv Kijana mjinga mjinga Sanaa huyu.. Anajuaje labda utaratibu wa kupewa taarifa umebadirika yeye kakariri enzi za mwamba. Si adeal na chauma
@IAMartin_ Kwa maana hiyo ni kwamba cartel watapiga pesa ndefu ila serikali itashuka sana kimapato maana purchasing power mpaka sasa imepungua sanaa watu wengi wamehamia kwa daladala na bajaji ndinga zimachwa manunuzi mengine yamepunguzwa mpaka October kitaeleweka tu
@AhmedOm97293319@MsigwaPeter Hii sio personal mzee it's fact msigwa kaongea sasa wewe unamu attack badala ya ku attack hoja zake... Ondoa hisia afu soma alichoandika kama kina ukweli au la.. Kwa mfano msaada wa UKIMWi ukiondolewa watu watadondoka kama nzige mzee mrusi hana kitu cha kutupa kwa sasa