@Alphared_66 Waongo utafiti waliufanyia wapi, afya ya akilihusababishwa na mambo mengi ugumu wa maisha,mshtuko wa jambo limtokealo mtu kufilisika kiuchumi kuachwa kimapenzi n.k
Ukiwa Huna Jambo la Kusema bora Ubaki Nyumbani tu, Serekali inabidi wajenge Sheria na sisi Wavuta Bangi Tuheshimiwe Unawezaje Kusema Bangi Chanzo cha Afya ya Akili.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.
Hello Kumekucha🔥🔥
JOTO LA ASUBUHI LIKO HEWANI🎶
Tufuatilie Kupitia Masafa yetu Ya 93.7 Dar Es Salaam Tabora Lindi Mtwara na Zanzibar.
Unaweza Kutusikiliza Kupitia https://t.co/j27iRD8EF0
#MuzikiUnaongea
Leo nataka niwaletee Kidogo kile ninachojua na baadhi ya Mashekhe nilijaribu kuwauliza kuhusu haya mambo mawili kwanza Kabla ya Yote Mnatakiwa Kufahamu Vitu Viwili 👇👇👇
1) WOTE NI WAISLAMU HAPA ILA KUNATABAKA MBILI YANI WAISLAMU HAWA WAKAWAIDA NA WANSWALI.
INAENDELEA 👇