The Catholic Church in Tanzania spoke like the only adult in a room full of frightened children.
When you’re an ancient institution that has outlived emperors, monarchs, dictators, plagues and revolutions — you don’t sugarcoat. You tell the truth
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Kupitia kwa Rais wa Baraza hilo na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, limesema imethibitika kuwa baadhi ya waliopoteza maisha, miili yao haijapatikana na kwamba inasikitisha ya kuwa baadhi ya Watu walipotaka kuwazika wapendwa wao hawakuikuta miili yao.
TEC imeomba kama Wadau wengine walivyokwisha omba kuwa ni hekima na busara kuwapatia wanafamilia miili ya wapendwa wao wakaipumzishe au kuisitiri kwa heshima kadiri ya imani ya dini, mila, desturi na tamaduni zao.
“Imani yetu inatufundisha kuwa kuna maisha baada ya kifo na kifo ni kuanza maisha mapya na pia miili hii itafufuliwa siku ya mwisho maana parapanda italia wafu watafufuliwa wasiwe na uharibifu nasi tutabadilika (1 Kor. 15:52)."
#MillardAyoUPDATES
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa Baraza hilo na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa limesema kuandamana ni haki ya raia kama njia ya kufikisha ujumbe au malalamiko ikiwa njia ya mazungumzo imeshindikana cha msingi yawe maandamano ya amani.
TEC imesema inasikitisha kuona kuwa Waandamanaji waliojitokeza siku ya uchaguzi wote waliwekwa katika mwamvuli wa uhalifu huku ikisisitiza adhabu ya Mwandamanaji siyo kuuawa.
“Katika tafakari yetu tunafikiri kati ya mengine mengi maandamano yamesababishwa na matukio ya waziwazi ya mauaji, utekaji, kupigwa na kuumizwa kwa raia bila kuwepo na nia thabiti ya kukomesha maovu hayo ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 14 Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka katika jamii hifadhi ya maisha yake kwa mujibu wa sheria."
“Haki hii imethibitishwa kukiukwa na vyombo vya ulinzi na “Wasiojulikana" ambao wanaonekana wana nguvu kuliko vyombo vya dola.
“Maandamano yamesababishwa pia na kukosekana kwa demokrasia ya kweli ya namna ya kuwapata Viongozi, hili limekuwa kilio cha muda mrefu cha Taifa letu na halijawahi kupatiwa ufumbuzi tangu 2016, Chaguzi zinakosa ushindani wa haki, ukweli, uwazi, uhuru na kuaminika.
“Kwa kuchambua maandamamo, Baraza la Maaskofu limeng'amua kuwa hasira ya wananchi imechochewa pia na kukosekana mahali pa Raia kupeleka na kufanyiwa kazi malalamiko ya kukiukwa haki zao za msingi, kwa baadhi ya mihimili inaingiliwa, vifo vilivyotokea vimeonyesha wazi kuwa vyombo vya usalama vimeshindwa kuthibiti maandamano kwa weledi kwani walitumia silaha za moto, hii ni kinyume na taratibu msingi za Baraza la Umoja wa Mataifa katika kutumia nguvu na silaha za moto ya mwaka 1990 ambazo zinashauri kwamba silaha za moto zitumike tu kama hakuna njia mbadala ya kulinda maisha”
“Hata katika vita huwezi kutumia kila aina ya silaha, maandamano si vita lakini zimetumika silaha zinazotumika katika vita, Askari waliua Ndugu zetu wasio na silaha holela na kwa ukatili mkubwa kama wanyama, kitu kinachotufanya tujiulize binadamu mwenye akili timamu anawezaje kufanya vitendo kama hivyo?”
#MillardAyoUPDATES
Kwa wasioelewa dressing code ya Kanisa Katoliki: Rangi ya SHEREHE (Festive Colour) ni NYEUPE. ZAMBARAU na NYEUSI ni rangi za KUOMBOLEZA/TOBA.
Hivyo Padre kuvaa Kanzu nyeusi na Stola ya ZAMBARAU siku ya kuapishwa kwake ni kuonyesha hakuwakilisha Kanisa kwenye sherehe bali MSIBA!
Deeply concerned by the situation in Tanzania, including reports of deaths & injuries during demonstrations.
I call on all to exercise restraint, reject violence & engage in inclusive & constructive dialogue to prevent further escalation.
The @UN stands ready to support efforts aimed at fostering dialogue, strengthening democratic governance & promoting sustainable peace in Tanzania.
NATO phonetic alphabet
A - Alfa
B - Bravo
C - Charlie
D - Delta
E - Echo
F - Foxtrot
G - Golf
H - Hotel
I - India
J - Juliett
K - Kilo
L - Lima
M - Mike
N - November
O - Oscar
P - Papa
Q - Quebec
R - Romeo
S - Sierra
T - Tango
U - Uniform
V - Victor
W - Whiskey
X - Xray
Y - Yankee
Z - Zulu
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
On this day 24 years ago, nearly 3,000 lives were stolen by an unconscionable act of cowardice and hate. Terrorists believed they could break our will and bring us to our knees. They were wrong.
Together, as Americans, we united in grief and purpose. We found light in darkness. And in the face of fear, we came together — to defend our country, to help one another, and to overcome.
Today, we share a solemn rite of remembrance and honor all the souls we lost that day on September 11, 2001. And we remember the immense courage of the first responders — firefighters, law enforcement officers, emergency workers, and service members — who answered the call of duty, and the brave civilians who rushed into action to save lives that day.
America will Never Forget.