Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.
Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..
Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..
Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.
Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..
Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Leo Kamati Tendaji ya BAWACHA Taifa imeketi mjini Dodoma ambapo, pamoja na mambo mengine, imepokea mafunzo ya uongozi yaliyolenga kuimarisha uwezo wa viongozi katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Aidha, kikao kimejadili na kupanga mikakati mbalimbali ya namna bora ya kuendeleza agenda ya kudai Katiba Mpya pamoja na kampeni ya Free Tundu Lissu, ikiwa ni sehemu ya kuendelea kusimamia haki, demokrasia na utawala bora nchini.
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA MHE. LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
@ShundoGaston,
Mkurungenzi wa Sheria wa CHADEMA HQ
“Nimeongea na Ronaldo kupitia Simu ya Rio amekubali Mafuta yatashuka bei, ajira kwa watanzania zitaongezeka, Umeme utaacha kukatika katika, Walimu watapandishiwa mshahara”
Leo imetimia miezi saba tangu Nduli Idd Amin Mama auwe kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi.
Tunamuomba Mungu aendelee kuwapa pumzika la milele mashujaa wetu wote.🙏💔
Bavicha ni tanuri la kuoka uongozi na kupika vijana makini..
Hiki ni kikao cha kamati tendaji ya Bavicha Taifa.. hongera wakili @AdvMahinyila Mwenyekiti wa @bavicha_taifa na viongozi wenzako.. mmependeza sana .
Ni muhimu kumtaja Samia Suluhu kama mwandishi mkuu wa mauwaji ya tangu Okt 29.
(W)amekiri mara kadhaa kuwa aliamuru majeshi kuuwa ili kulinda urais wake batili.
Mauwaji yale yasingefanywa bila sanction yake, na amesikika akijivunia suala hilo!
Lazima awajibike! #MO29
Hatutasahau kuwa October 2025 Samia Suluhu ali terrorise nchi nzima akauwa watu zaidi ya elfu 10 akijilazimisha kuwa rais.
RIP to our fallen heroes.
Tutadai uwajibikaji hadi tone la mwisho.
#MO29#TanzaniaMassacre
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
#FreeTunduLissu
Hawana chao wauaji hawa wasitupotezee muda tunamhitaji Lissu mtaani mapema!
They have no choice but to release him immediately!
#FreeTunduLissu NOW!
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU.
Kesi ya mgawanyo wa Mali iliyofunguliwa na ccm/Serikali ili kuidhohofiSha @CHADEMATZ IMEFUTWA.
HAKI HUINUA TAIFA.
"Mwenye haki akitawala nchi hufurahi" (Ccm mtafakari).
No-one left behind!
Huu ndo msingi ninaishi nayo! Sitakubali mtu abaki anaonewa alafu wengine tuahidiwe ahueni! Si kwamba nilishindwa kucompromise miaka yote hii na hawa wauaji! Nimeamua sitaki!
Na hii ndo spirit ya Tundu Lissu ndo maana ninamheshimu sana! Si kama baadhi ya wanasiasa wenzake wanaoangalia matumbo yao na ahueni yao! Ye anaelewa kuwa noone is safe until everyone is safe
Tumpambanie sana Lissu wapendwa!
#FreeTunduLissu
Hatimae nimerejea uraiani baada ya miezi 6 katika kuta za Gereza R/Bunda.
Mateso yote niliyopitia tangu 01/11/2025 - 22, Mei 2026 yamenipa nguvu ya mapambano zaidi.
Sasa basi ili kuiondoa CCM Madarakani lazima tuwe na Vijana Watundu, Vijana Wakorofi na Vijana wenye Hasira.