TAREHE 17 / 03 (March 17) Kila mwaka ni #MagufuliDay. Tutaenzi na kuyaweka wazi makubwa aliyofanya na Kushare picha na videos zake siku nzima
#Magufulification
I had a good opportunity to speak with the Ambassador of Norway π³π΄ in Tanzania about the responsibilities of the Tanganyika Law Society (TLS) under Section 4 and the Rule of Law. We talked, got to know each other, and reached an understanding.
@saitech_hack@MagufuliJP@ClubMagufuli Nimefika hapo, Nimejionea 1 ya mambo zaidi ya 100 aliyofanya Magufuli. Nchi hii itaomboleza kifo chake mpaka atakapopatikana mtu kama yeye. Forever in our hearts JPM π
@Mwabuk2Boniface@MshauriSerikali Natamani kuwaona sasa wananchi wa kisesa wakisimama na Mbunge wao iwapo kama kweli Bashe ataenda. Na wao wagome kulipa kodi na charges zozote zile,
Wasiruhusu shughuli zozote za serikali na wafuate maagizo ya Mpina pekee. Baada ya hapo nadhani Majimbo mengine yatafuata π‘
@TheRealJongwe Ikiwapendeza mukamuombe msamaha Magufuli muliyemtukana na kumsema vibaya wakati aliwashawiahi. Lasivyo hii laana itaendelea kuwataguna mpaka munyooke...
Namna ya kuwa nΓ TLS madhubuti ni kuhakikisha usawa wa wanachama wote katika kufurahia Uwakili wao. Ukishakuwa wakili ni wakili haijalishi Uko Public, Judiciary , Private,Kijana , Mzee.
Tukatae sheria na Kanuni zinazotutenganisha kwa Maslahi ya wanachama na Taifa Letu.
Very good is not enough when we have excellent .Hatuta nyamaza wala kupoa mpaka pale Azimio la Bunge la Mkataba huu wa kijambazi litakapofutwa na Bunge na zaidi serikali ya CCM kusitisha utekelezaji wa IGA haramu.
Hatutafuti Mshindi tunalinda Raslimali zetu.
Aluta Continua..
Demokrasia yetu imebakwa kwa muda mrefu sana.
Taasisi zote za oversight watawala wamezigeuza kuwa toy zao za masturbation.
Uwepo wa @Mwabuk2Boniface pale @TanganyikaLaw ni hatua muhimu katika harakati za kupigania ustawi wa demokrasia yetu.
We need him!