@zoetjesheeftX Ndiyo, Sababu mpaka akubali umuoe tayari ameshakuchunguza unavyanzo vyako vya utajiri hivyo akiingia ndan yeye anakuja kukuboost uelekee utajiri.
@RChristaud@MkulimaKante Pia ata namna anavyoimba inaendana nakuwaza mwili wa jitu, labda ana project inayotaka kuonesha amekonda then ata retain mwil wake wa mwanzo.