Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Aida Kenank kupitia chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA amesema kuwa, hawezi kugombea ubunge Kwakuwa hakuna uhakika wa yeye kutangazwa hatakama akishinda.
Mbunge kenani alidai Kuwa hata Uchaguzi uliopita WA mwaka 2020 wabunge wengi wa chadema walishinda ila hawakutangazwa.
Naona Kanisa Katoliki inasema #NoReformsNoElection ✊🏽😀
Ila @SuluhuSamia na genge lake wametia pamba sikioni! Subirini Mungu audhihirishe ukuu wake maana mmeletewa messengers wa kila aina mmeshupaza shingo!
Mi nipo nawatazama tu ukaidi na kiburi cha @ccm_tanzania si wa kawaida ni ule wa kifarao!
#TutaelewanaTu