Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Zaidi https://t.co/VcTwdU3UB0
#JamiiForums #Siasa
@mangekimambi says @instagram and @facebook parent @Meta bowed to pressure from Tanzanian President @SuluhuSamia’s government, ➡️ https://t.co/NGeZHu61Kp wiping out accounts through which she reached millions.
Interview by @Sheriffb
Niliandika hii posti kuhusu Nchimbi miaka 2 iliyopita. Niliwaambia Watanzania miaka 2 iliyopita kuwa CCM lazma watamuondoa Nchimbi….
I was 100% sure kuwa yoyote ambae ni old school CCM nikimaanisha wenye mentality kama za kina Mzee Kingunge hatokubali hizi siasa zinazoangamiza nchi na wananchi wake…..
MaCCM wa zamani walikuwa ni wadokozi tu ila kuna sehemu ya mioyo yao ilikuwa ina bleed Tanganyika and no money in the world could make them sell out.
Hawa vijana wa CCM ya leo ni mambwa koko, wanaangalia nchi inapukutuka wao wanajali vyeo tu…
Watanzania ile CCM tuliyokuwa tunaijua haipo tena. Ukimuona Mtanzania bado anavaa nguo za CCM, mpeleke Mirembe ana matatizo ya akili huyo….
CCM imekata moto…..
Ila washauri wa kimama na machawa ni wapumbavu sana 🤣
Wanachekelea Nchimbi kujiuzulu hawajui mwenzao amejihami na ICC na all the sh*t coming, na ame create a national and international crisis itakayofanya hata washirika wao wa kiafrika wasite kumsaidia kimama! This is bad!
Makamu wako anajiuzulu baada ya miezi 9 kuapishwa?
Ina maana you lost control- nchi imekushinda and not even your VP wants to be associated with you! Hujamfukuza kajiuzulu!
Wao wanaona wameshinda!
🤐 acha nisiwasanue zaidi
#TutaelewanaTu
This is a direct consequence of the United States and the EU failing to do enough to help Tanzania remove Samia Suluhu from power after she allegedly oversaw the killing of more than 10,000 Tanzanians, only to then claim 98% of the vote in last year’s election.
Tanzania has become the blueprint for how to become a dictator,.
“We ought to ask how is it that in Durban today Tanzania's president is allowed to sit amongst SADC heads of states when she's a product of what everyone has legitimately called illegitimate elections.” - Dr @MbuyiseniNdlozi.