Mchawi binadamu, paka anatumwa tu.
MPEMBA ametumwa kumshambulia NAMBA MBILI wao na amembatiza jina la YUDA. Kosa lake ni kusema alipendwa sana na JIWE. Wamekasirika sana. Jamaa anasema JIWE alimtupa Brazil. Wanasema ametengwa hadi na familia ya โWHITE HAIRโ. Eti ni kweli, wazee wa โSafari ya Matumainiโ mmemtenga 'Mzee wa Mustachi'? Sisi wengine tunafurahi. Kazi yetu moja tu, kuchochea kunu. Ushirika wa 'wanyonya damu' hauwezi kudumu.
NB; kama wapo wengi, kwanini hakuna makofi? SIJAPENDA.
KICHWA CHA MWENDA WAZIMU HAKIOTI NYWELE.
Mwambieni Ndugu Paul Makonda kwamba Tulikuwa na watu kama Mzee Jella Mtagwa au Mzee Peter Agustino ( Peter Tino) Ngulungu au Hata Sunday Manara aliyefungua mlango wa TZ kucheza ulaya na kwa kizazi kipya akina Mbwana Sammata nk ndani ya Taifa hili .
Tunge kuwa na utashi wa kweli tunge wa enzi hawa kwa mchango wao katika Taifa hili kulipeleka Afcom kwa mara ya kwanza tuna Wallace Karia ambaye ametufanya tuzoee sasa kushiriki Fainali za AFCON na akina Mohamed Dewji kwa kuondoa vilabu vya Tanzania katika Unyonge kiasi kwamba kila klabu ikipangwa na Yanga au Simba inapata hofu.
Lakini kwasababu sisi nikichwa cha Mwenda wazimu usishangae kuona akina Didier Drogba au David Beckam wakienziawa. Ndiyo ukichwa cha mwenda wazimu wenyewe.
ANY WAY CHA MUHIMU TUJUE WALIOTEKWA WAKO WAPI,OKTOBA 29 NANI ALIHUSIKA NA ALIHUSIKA VIPI KABLA,WAKATI NA BAADA.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA.
BAK Mwabukusi.
Bus linapata ajali wanakufa abiria 50, ila Gavoo ikija kutoa habari lazima wapunguze idadi ya vifo, watasema wamekufa abiria 7 na majeruhi 12 tu!!
Na hiyo ni ajali ya Bus tu ambalo hata hawajahusika nalo.
Sasa ndio ije kuwa haya mauaji ya halaiki ambayo wamehusika kwa asilimia ๐ฏ
Lazima tu wapunguze numbers kupunguza chaos!!
May the weight of your cruelty and abuse of power fall upon your family, and may you be haunted by the suffering you have caused. May your family bear the shame of your actions, and may you live as a fugitive , isolated, disgraced, and rejected for what you have done.
Your father is now going to die and you will live the life of a fugitive. Big fool.
Uzuri wa kiburi ni namna kinavyokuandalia anguko lako kwa ustadi mkubwa. Kwanza, kinakujaza ujasiri uamini wewe ni mtu mwenye akili zisizo za kawaida, unaona wasichoona watu wote na kisha kinakufumba macho usiuone ukweli unaouhitaji kwa kukuletea watu waliobobea kukusifu kama nyenzo ya kulinda maslahi yao.
Hapo kinakuwa kimekujengea imani kuwa unazo nguvu zisizo za kawaida za kufanya chochote unachotaka, kinakutenganisha na kila mwenye hekima unayemhitaji na kukugombanisha na watu ambao kimsingi wangekuwa na ujasiri wa kuona mapungufu yako.
Kikikufikisha hapo unaanza kuamini una uhuru usio na kikomo wa kufanya makosa bila usumbufu wala kuingiliwa. Kila anayeona makosa yako anakuwa tatizo. Unabaki kugombana na watu badala ya kujihami na adui. Unakuja kugundua makosa yako ukiwa umeshachelewa. Hata kile ulichofikiri unakipigania kinapeperuka. Tunakusahau.
The problem with Tanzaniaโs Electoral Commission is that it has come to view the electoral process as its personal property rather than a civic exercise belonging to the people.
The very name of the Commission contradicts its conduct. One moment it narrows the rules, the next it stretches them bending and twisting procedures only to trample on fairness.
it is my humble reflection that this Commission is, without doubt, the weakest in our history worse even than those of the โthree ballot era.โ It has destroyed the very essence of democratic elections in our nation.
Let the truth be told: we must demand a new Constitution and Invest in justice to sustain peace and stability.
BAK MWABUKUSI.
Teuzi za wakuu wa wilaya wapya na nafasi zingine #surnames zao zinasoma za wakali walewale waliotuongoza miaka na miaka!!
Tukifanya masikhara hawa tunao sana hawa mpaka wajukuu zetu!!
Assists buku dakika 90 khaaa!
White smoke billows from the chimney above the Sistine Chapel to announce that the 133 Cardinal electors have elected the new Pope, who will appear soon at the central window of St. Peterโs Basilica.
Wakikaa kwenye vikao vyao na kufanya review ya matukio waliyoyafanya for years ya
Kuteka/Kutesa/Kuua/Kupoteza/Kujeruhi
Kufunga kwa sababu tu za ukosoaji wa gavoo.
Wakiangalia na goals zao wanakutana na results tofauti!!
Goals zao ni kuunyamazisha uma, kuufunga mtaa mdomo!!
Lakini badala yake wahanga hawatupi taulo, hii inawavuruga mno!!
Badala ya mtaa kunyamaza, kinachotokea ni wanazidisha chuki na kupandikiza sumu kwa raia!!
Mbaya zaidi wanaendelea na same approach, same strategies!!