Ulimwengu wa Mabingwa (@dstvtanzania__ ) umekutana na Magwiji wa Habari nchini CROWN MEDIA.
Pichani; Mkuu wa Kitengo cha Masoko DStv Baraka Shelukindo akikabidhiwa #KishikaUchumba na Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa CROWN MEDIA @MackMwinshaha kusimika mahusiano mapya ya kibiashara baina ya kampuni hizi mbili.
CROWN MEDIA iliwakilishwa pia na Mhariri Mkuu @Salym , Mkuu wa Kitengo cha Matukio Reyjons na DStv pia iliwakilishwa na neymariossah Brand Manager.
Kata ya Tongwe, Jimbo la Muheza kwa @MwanaFA makubwa yanafanyika Chini ya Uongozi wa Rais Samia kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Muheza!!
Uongozi wa Mwana FA Muheza unaacha Alama ππ
Kata ya Tongwe, Jimbo la Muheza kwa @MwanaFA makubwa yanafanyika Chini ya Uongozi wa Rais Samia kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Muheza!!
Uongozi wa Mwana FA Muheza unaacha Alama ππ