@datius_tz We Gari Yako Unayo Utuonesheee Au Ndo Unalala na Unaamkia Kwenu Afu Umeshashika Tecno Unatype Upuuzi kama Huoo Acha Uchawii au ndo Umerithishwa Uchawii Kutoka Kijijini kwenu ๐๐๐
@Khalidchukuchuk Boraaa Kaka Umeongea Tatizo Asilimia Kubwa Wachambuzi wa Bongo ni Bendera Fata Upepoo wengi Waoo Hawajielew wanaojitambua wachache Snaaaa
@fumbokhanJr Mbona Jambo la Foseliii Kutakiwa na Mamelod Sundowns Amkuliwekeee Bangoo Kubwa Iviii Ila la mzizee Linawauma Sanaa Ebu Tulieni Yanga saiz ni Lidude Likubwaa Andaeni Kwanz Timu Yenu Ya kwetu Tuachieniii
@CharlieBihemo Hahaha Ila Kolo ni Koloo Tu Sasa Hii JEZI Kama Zile za Kopa Cocacolaaaa Unavalia Wap Au Unatak Uvae Ukiwa Unavaa Ukwajuuu Mkuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ